Kipindi cha mkasi cha EATV, kinaelimisha nini?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Jamani,sijui mimi ndo niko nyuma ya ulimwengu au vp?ivi hiki kipindi cha mikasi kinachoongozwa na salama kinaelimisha nin hasa?
 
Jamani,sijui mimi ndo niko nyuma ya ulimwengu au vp?ivi hiki kipindi cha mikasi kinachoongozwa na salama kinaelimisha nin hasa?

Ni kweli uko nyuma ya Ulimwengu kuna vipindi ambavyo ni vya kuburudisha tu, ni kama mziki kuna miziki inayofundisha na kuburudisha na kuna mingine haina mafundisho ila ina burudisha tu, kwa hiyo hata hicho kipindi kinawapa watazamaji nafasi ya kujua upande wa pili wa hao wanaohojiwa na kwa mashabiki wao wanapata burudani haswa.
 

owk,asante kwa ufafanuzi wako mkuu.
 
ni burudani tu ndugu,kama cha leo nimenifurahisha tu
 
Hivi hiki kipindi cha Mikasi hawana sehemu nyingine tofauti tofauti ya kuShoot zaidi ya pale Saloon?
 
just for entertainment na kupumzisha akili baada ya kazi kwa siku nzima ya J3, salun pale ndo gud and smple mitting point ambapo watu huweza ongea mambo kibao, si wapajua salun mkuu, sa wakakae wap kwingine
 
Aidia ya kushoot saluni ilikuwa kuwakilisha neno Mikasi, chaajabu salooni yenyewe mikasi haitumiki.
 
Kipindi kinaitwa Mkasi na sio Mikasi..!!
 
Salma anajua sana.kutoka PLANET BONGO hadi MKASI.safi sana napenda wabunifu kama hawa.
 
Salma anajua sana.kutoka PLANET BONGO hadi MKASI.safi sana napenda wabunifu kama hawa.

Kile kipindi kinaelimisha mambo mengi ya mastaa wa kibongo ambao tungependa kujua angalau machache kutoka kwao, wanafanya nini, matatizo, mafanikio n.k.

Ni ubunifu mzuri sana wa Salma Jabiri.
 
Mkishayajua maisha yao yatawasaidia nini? Badala ya kuangalia maisha yenu yaliyogeuzwa mzigo na serikali ya magamba?
 
mkasi tamu sana yaani hawa wasanii wanachohojiwa huwa hawakumbuki kabisaa kwani waongo kwa mfano kalulu kalisema chenyewe kana miaka 18 sa hivi kanabisha RIP k, alisema hatumii kilevi cha aina yeyote kumbe mzee anakata mayi.mkasi hureeeeeeeeeee!
 
Salama ana burudisha kama kuelimishwa nenda ITV au TBC huko ndo watu kama nyie ndo panawafaa.Siku nyingine ukiona kitu hukielewi una sepa kimya kimya sio unapiga mayowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…