Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hebu andika vizuri tukuelewe,kipindi amekionaje nani?unadhani watu wote wana muda wa kutazama tv?elezea kuna kipindi kinaitwaje na kinarushwa tv gani na saa ngapi,na kama kipo youtube tukifuatilie...Hichi kipind kwako umekuonaje..?
Hapa hajauliza watu wote, kauliza walio angalia kama hukuangalia swali hili halikuhusu kujibu.hebu andika vizuri tukuelewe,kipindi amekionaje nani?unadhani watu wote wana muda wa kutazama tv?elezea kuna kipindi kinaitwaje na kinarushwa tv gani na saa ngapi,na kama kipo youtube tukifuatilie...
???Naskitka sijapata muda wa kukiangalia ila kilikuwa kizuri kiasi chake
wapi kasema ameuliza walioangalia?aibu yako!Hapa hajauliza watu wote, kauliza walio angalia kama hukuangalia swali hili halikuhusu kujibu.
Si lazima kujibu au kuchangia kila kitu. Mkuuu
Utaulizwaje kama hujaangaliawapi kasema ameuliza walioangalia?aibu yako!
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hujaangalia alafu umejua Kama kilikua kizuri daah umetishaNaskitka sijapata muda wa kukiangalia ila kilikuwa kizuri kiasi chake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mm mwenyew nimecheka sana???
"sijakiangalia,ILA kizuri", ???
Akili yako inamatatizo kipindi unadai kibovu hafu hujakiangalia je huo ubovu ulionea wapi?Kipindi chenyewe ni kibovu kibovu sana! kwanza sikikuangalia hata sijui kinarushwa saa ngapi
Salama na his team???!!Salama na his team wako very talented, clean graphics, good location.
But poor contents. Hakina contents nzuri na kina mbwembwe kibao na nyingine hazina maana.
Yani bahati ni kuwa host ni salama.
Her team, sorry nilikosea by the way amekaa kama she-maleSalama na his team???!!
She's He anyway....Her team, sorry nilikosea by the way amekaa kama she-male