Kipindi cha Ngazi Kwa Ngazi by Salama Jabir

Hello friends; I Nyamoni Warioba from Tanzania, I have been nominated for the YOUTH CITIZEN ENTREPRENEURSHIP Competition in the Best Idea 2016 Category. I would be happy if you support my idea with Comments and Votes. You can support my Ideas by:

a) Voting for it

b) Commenting and Giving positive feedback that can help to improve my project. Go to this link. www.entrepreneurship-campus.org/ideas/4/ click Best ideas 2016 then click VOTE FOR BEST IDEAS, all Nominees names will appear and then Select idea titled "EMPOWERING GIRLS THROUGH FORMING A FOOTBALL TEAM" you will see the name NYAMONI WARIOBA with a Ball photograph attached, Just click VOTE at the Orange bar.

" Please I need your Votes for winning this competition" Your votes and comments will be valued; VOTING deadline will be 31/08/2016. Please share with friends groups.
 
hiki kipindi ili kiwe kizuri amuhoji 50 cent. ila nasikitika sijawahi kukiona ndo kwanza nasikia kwenu,,ngoja nisome koment nisichangie neno
 
hebu andika vizuri tukuelewe,kipindi amekionaje nani?unadhani watu wote wana muda wa kutazama tv?elezea kuna kipindi kinaitwaje na kinarushwa tv gani na saa ngapi,na kama kipo youtube tukifuatilie...
Kaa Povu ivi lakutoka mixer ujuaji feki mkuu em kaa kando nahisi hii umeivamia flan iv
 
Nimekishangaaaaaaaaaaaa, so alhamis tunapata top 20 jmos top 10
 
Salama na her team wako very talented, clean graphics, good location.
But poor contents. Hakina contents nzuri na kina mbwembwe kibao na nyingine hazina maana.
Yani bahati ni kuwa host ni salama.
Pamoja na kwamba host ni salama, lakini najaribu kujiuliza nini lengo la hiki kipindi? Sustainability siioni, anataka kutuambia alhamis anakuja na top 20 nyingine, au kuna mtoano, au huu ulikuwa utangulizi tu maudhui yatabadilika kiukweli sijakielewa.
 
Tatizo salama hayupo Sexyyy... Anyway kipindi hicho wala sikijui...
Cha ajabu hata matangazo ya kukitangaza kipindi hayakuwa na mvuto na hayakuwa yanaeleweka, mimi alikuwa ananiboa hatari, alafu jina la kipindi na yaliyomo, mmmmmh!!??? Long face
 
Kipindi ni kizuri sana,location kali,top ten kali
 
Kwa kweli ni kibaya sana nimekiangalia kwenye baas la mwendo kasi
 
Kwanza nikupe hongera kwa kile unachokifanya

Pili naitaji kujua nini tatizo kilishosababisha muache kipindi cha mkasi mkaja na ngazi kwa ngazi

Tatizo nini matangazo hakuna?
Mmeona hakuna jipya mmemaliza hoji watu wote?

tatizo nini mmegundua watazamaji wanaoenda zaidi mziki kuliko kumsiliza mtu akihojiwa?

Au vipindi vya top ten vinalipa kwa sasa hivyo mmeamua jikita uku sasa?

Naomba mtu jibu kwani mnachofanya sasa ni kitu ambacho tv zote kipo si kigeni sana ila mkasi kilikuwa na upekee wake kwani watu wengi Kuna watu ambao ni role model wao hivyo wanaitaji kujua mengi kuhusu wao


Ingawa hatujui mipango yenu ila kiukweli kulikuwa hakuna haja ya kukiacha kipindi cha mkasi nakuja na ngazi kwa ngazi kwani kwa sababu nyingi tu

Moja Salam umekaa katika media kwa mda mrefu kufanya vipindi kama vya ngazi kwa ngazi ni kama vile umetoka kwenye Mia umerudi kwenye kumi hivyo vipindi sio level zako ni vyepesi sana

Wewe sasa kipindi cha mkasi kilikufaa kwani una uzoefu na media na umejua vingi hivyo ilikuwa unapaswa kukaa na akili kubwa kudadavua mambo kama vile kuhoji watu mbali mbali

Haja ilikuwepo kuboresha tu kipindi cha mkasi mfano kuanza toka studio na kufuata watu mikoani na sehemu nyingine ingawa pesa inaitajika kufanya yote haya ila sawa kwani mwanzo mgumu mngekomaaa tu

Kitu kingine msiwe mnaona hatari kuimbia jamii mnapoitaji badilisha vitu vyenu ili mmuweze kupata mawazo mbali mbali ya wadau

Asante
 
Mkasi nilikuwa naipenda sana. Nilipata nafasi ya kujifunza mengi sana kutoka kwa watu mbalimbali.
 
ha ha ha ha...Mtanzania vituko havimuishi...sijajua kwanini umetumia neno "Hatujui" ikiwa ni malalamiko yako binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…