deonova
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 742
- 419
Matatizo hayo ya kinakusaga kuajiri vilaza.Juzi kati nekwenda hapo clouds mikocheni.....nikafika na kumkuta receptionist wa kiume ambaye hajui maadili ya kazi yake.Eti namwambia nataka kuonana na meneja wa vipindi vya television nahitaji kupata maelezo yake binafsi jinsi ya kufanya kipindi jipya hapo clouds tv......jamaa akaniambia niketi nisubiri kidogo....zimepitaka kama dk20 hivi nikamuuliza vipi jamaa yupo tyt sana nini nije siku nyingine.....akanijibu eti nimemtext bado hajajibu........nilipatwa na hasira nikasepa bila kuaga nikasema hii idea yangu bora nipeleke tbc kulikoni hawa maboya wenye dharau kiasi hiki.
Duuuuh receptionist anamtext boss badala ya kumpigia??? That was extreme casual.