leo nimefanikiwa kusikiliza kipindi cha PATA PATA katika radio ya WAPO FM 98.0. Kulikuwa na wasikilizaji wanatuma ujumbe wa maandishi kuhusu taarifa zilizokuwa zinatolewa. katika kipindi nilichokuwa nasikiliza jumla ya sms 12 zimesomwa na zililenga katika maeneo matatu:-
Mbarikiwe, Amen
- zilizokuwa zinasema Dr. Slaa songa mbele, Tutawang'oa mafisadi = 9 = 75%
- Zilizosema Upinzani hauwezi kushinda kiti cha uraisi bila kuungana =1 = 8.3%
- Zilizoungamkono kitendo cha jeshi kutoa tamko hapo juzi = 2 = 16.7%
- Zilizosema JK Juu = 0 = 0%
walikuwa wangapi? wanafika million 7 waliotoa maoni? au 10 tu
wapo inafika kule tabora?

Pamoja na kwamba mwenye WAPO radio kujaribu kumbeba Jk, hapo majuzi alimfanya mgeni rasmi kwenye sherehe fulani hivi, habebeki. Nasema habebeki kwa sababu watu hawawezi kukubeba huku ukiwapiga na njaa na umaskini. Ccm imetengeneza matabaka Tz, kiasi kwamba kuna tabaka la walio chacho wachache na wasionacho walio wengi. Ubaya hapa sii kwa watu kuwa nacho, hapana! Ubaya ni pale wale wachache walionacho wamekifisadi kutoka kwenye hazina ya wale wengi wasio nacho.
JK USIHOFU KUPUMZIKA KWA AMANI, KWANI TUTAKUPA HESHIMA YA RAIS ALIYEKUBALI MAGEUZI. LAKINI UKIUTAKA URAIS KWA GHARAMA YA DAMU TUTAKUTANGAZA KUWA ADUI NAMBA MOJA WA TAIFA LILILOKUA LA AMANI AFRICA. HUTASAMEHEKA KATIKA ULIMWENGU HUU WALA ULE UJAO.
Ndugu zangu,
Nawasihi sana,
Tuwe makini na hizi redio stesheni za ajabu ajabu,
Watu wako tayari kupata au kung'angania madara kwa gharama yeyote, Hata ikibidi kumwaga damu za watu wasio na hatia.
Wamejaribu kutumia ukanda, ukabila wameshindwa, sasa wanatumia UDINI.
Hii ni hatari sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Jana nilibahatika kusikiliza radio moja hapa Dar (104.1 fm) ya kiislam. Nimerekodi yale mazungumzo. Nimejaribu kuattch hapa nimeshindwa. Ila kwa kifupi ni kampeni chafu sana. Pia kuna watu misikitini wanaeneza uvumi kwamba Slaa anasema kuleta mahakama ya kadhi ni kuchafua katiba. Ndugu zangu watanzania. Tuwe macho. Tuwapuuze hawa "mashetani"
Tuwapime wagombea kwa vigezo vya uzalendo wao,
Uadilifu wao,
Ucha Mungu wao, nk.
Hivi vyama ni vya kupita tuu, Ila mustakabali wa nchi yetu ni muhimu zaidi na wa kudumu.
shida yako shule ndogowalikuwa wangapi? Wanafika million 7 waliotoa maoni? Au 10 tu