Kipindi cha raisi ofisini

Counsellor

New Member
Joined
Jul 23, 2011
Posts
2
Reaction score
1
Raisi wetu inafaa akae muhula mmoja tu, usiopungua miaka mitano (5) na kutozidi miaka saba. Napendekeza miaka saba. Hii ni kuongeza ufanisi wake tupate tija zaidi. Pia hatalazimika kuomba kura na kuaga wapiga kura wake mara nyingi. Atomba kura mwaka mmoja na kuaga mwaka mmoja atatekeleza ilani yake miaka mitano bila kisingizio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…