Kipindi cha Sports Extra cha clouds FM kibadilishwe jina?

Lukaku16

Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
21
Reaction score
27
Hivi naomba kuuliza kwenu waungwana, nyie mnaonaje hiki kipindi cha kila siku saa 3-4 usiku kupitia clouds fm, kiendelee kuitwa Sports Xtra au kibadilishwe jina na kiitwe Soccer Xtra?

Najaribu kuwaza tu bandugu............ [emoji26] [emoji26] [emoji26]
 
Hivi naomba kuuliza kwenu waungwana, nyie hiki kipindi cha kila siku saa 3-4 usiku kupitia clouds fm, kiendelee kuitwa Sports Xtra au kibadilishwe jina na kiitwe Soccer Xtra?

Najaribu kuwaza tu bandugu............ [emoji26] [emoji26] [emoji26]
Sasa kwanini kibadilishwe mkuu
 
Sasa ni mchezo gani wenye mashiko wauzungumzie??? Volleybal?? Netbal??? Rugby??? Utasikiliza???
 
watu wa diamond bana! Yaan kumchukia ruge mmeanza kuvidisi vipindi bila sababu
 
watu wa diamond bana! Yaan kumchukia ruge mmeanza kuvidisi vipindi bila sababu
Nadhani wewe ndo unawaza udaimond na ukiba,,,,,, mimi hata ukija kwenye Playlist yangu hakuna hata nyimbo zao kwasababu huwa sina time nao... Zaidi utakutana na Mwana FA, Nikki Mbishi, Chindoman, One Incredible, Galinoma, Jah Kimbute, Msondo nk.
 
kwahyo unataka kusema sport extra izungumzie rugby au sio
 
kwahyo unataka kusema sport extra izungumzie rugby au sio
Brother elewa swali, kipindi kikibeba issue za soccer tu kila siku na kina dogo Mohammed Matumla tutawasikia wapi story zao...... ..?
 
Infact wanaangalia SOCCER Pekee sababu ndio mchezo pendwa duniani kote, sasa wewe mkuu unataka kusikiliza ndondi huwezi pata infotainment kupitia SPORTS EXTRA.
 
Nilitaraji pendekezo lako ni la kutoka Uinglishi kwenda Kiswahili. Kumbe unataka Uinglishi uendelee tu!!!!!!!! Siafiki kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…