NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Hiki kipindi kimekuwa ni Cha hovyo Sana kimepoteza mvuto ni tofauti kabisa na mwanzo.
Saivi ukifungua redio usikilize walau hata upate update za mpira na uchambuzi Cha kushangaza unakutana na promo za mchongo pesa inayoimbwa kila sekunde hamasa imekua kubwa sana mpaka wamesahu maudhui ya kipindi.
Kipindi Cha hovyo Sana hiki na kamali yao waliyoikopi kwa Biko na tatu mzuka.