NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
huu ni ujinga wa hali ya juuHiki kipindi kimekuwa ni Cha hovyo Sana kimepoteza mvuto ni tofauti kabisa na mwanzo.
Saivi ukifungua redio usikilize walau hata upate update za mpira na uchambuzi Cha kushangaza unakutana na promo za mchongo pesa inayoimbwa kila sekunde hamasa imekua kubwa sana mpaka wamesahu maudhui ya kipindi.
Kipindi Cha hovyo Sana hiki na kamali yao waliyoikopi kwa Biko na tatu mzuka.
Hivi mnapata wapi ujasiri wa kuwasikiliza wachambuzi wa kibongo ?Hiki kipindi kimekuwa ni Cha hovyo Sana kimepoteza mvuto ni tofauti kabisa na mwanzo.
Saivi ukifungua redio usikilize walau hata upate update za mpira na uchambuzi Cha kushangaza unakutana na promo za mchongo pesa inayoimbwa kila sekunde hamasa imekua kubwa sana mpaka wamesahu maudhui ya kipindi.
Kipindi Cha hovyo Sana hiki na kamali yao waliyoikopi kwa Biko na tatu mzuka.
Ndo ujinga huo sasa.Hiki kipindi kimekuwa ni Cha hovyo Sana kimepoteza mvuto ni tofauti kabisa na mwanzo.
Saivi ukifungua redio usikilize walau hata upate update za mpira na uchambuzi Cha kushangaza unakutana na promo za mchongo pesa inayoimbwa kila sekunde hamasa imekua kubwa sana mpaka wamesahu maudhui ya kipindi.
Kipindi Cha hovyo Sana hiki na kamali yao waliyoikopi kwa Biko na tatu mzuka.
Kweli wamezidi .Hasa EFM na clouds media.Vipindi vya michezo hasa hizi redio kama Clouds,Wasafi na EFM vinaboa sana, matangazo ni mengi zaidi kuliko uchambuzi,hata kama wanapata hela ya mishahara yao kwenye matangazo is too much,uchambuzi huwezi kufanyika kwa dk 2 au 3 lazima tangazo liingizwe