Kipindi cha urais kiwe kimoja tu

Kipindi cha urais kiwe kimoja tu

Amanikwenu

Senior Member
Joined
Dec 1, 2009
Posts
187
Reaction score
0
Wakuu,

Nafikiri tumefikia hatua ambapo kuna haja ya kubadili katiba yetu ili Rais anayechaguliwa katika uchaguzi mkuu akae madarakani kwa kipindi kimoja tu kisichozidi miaka mitano. Hii itatusaidia sana kuepukana na matatizo ambayo yanatokana na udhaifu wa kiongozi wa juu katika nchi zetu.

Kwangu mimi miaka mitano inatosha sana kwa Rais kufanya kile ambacho amepanga kuifanyia nchi yake na watu wake.

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom