Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Na katika uchaguzi mkuu wenyewe sasa, hujuma zitafanyika wazi wazi kabisa kwa wagombea uongozi wa chadema kama kulipa kisasi cha figisu na songombingo za kabokamchizi wakati wa uchaguzi wa ndani wa chadema.
Kuna maeneo ambayo awali chadema ilikua na ufuasi mkubwa sana, but kwa hujuma na kukomoana hawatapata kuungwa mkono tena kwa makusudi tu kama muendelezo wa kuhujumiana, kutwezana utu, kukomoana na migawanyiko iliyokuwepo wakati wa uchaguzi wa ndani.
Vilio vya hujuma, usaliti na kukomoana kwa makusudi havitakoma ndani ya chadema mpaka maridhiano ya kweli yatakapofanyika, hata hivyo itachukua muda mrefu sana kuponya majeraha ya tuhuma za kizushi miongni mwao, na kutwezana utu binafsi na familia zao wakati ule wa kampeni za uchaguzi wao wa ndani.
Vikao vya kusimamishwa na kuenguana uanachama havitaisha, nadhani hiyo ni agenda mojawapo muhimu sana ya kiongozi mpya wa Chadema.
Una maoni gani 🐒
Mungu Ibariki Tanzania