huku kiroho kina kumpwita mpwita,Wenye akili huwa tunasoma tu heading na kukupuuza. Ndo maana tunasema KANYE
Wewe unapenda Chadema iwe imara?ni muhim kuzingatia msisitizo wa mambo haya muhim ya kisiasa ndani ya chadema,
msije baadae kusema ati wataalamu hatukusema, hatukutoa tahadhari wala hatukuwapa angalizo.
Lipo tatizo la kukosekana umoja ndani ya uongozi mpya wa chadema, na lisipotatuliwa sasa, mbeleni tatizo linaweza kua kubwa zaidi.
Agenda ya no reform no elections, anae ielewa ni mwenyekiti wa chadema Taifa pekeyake, viongoz wengine wanamshangaa tu hadi wengine wanadai kuna hujuma π
Leo utaweka nyuzi ngapi za cdm ili tuziangalie zote jioni?Na katika uchaguzi mkuu wenyewe sasa, hujuma zitafanyika wazi wazi kabisa kwa wagombea uongozi wa chadema kama kulipa kisasi cha figisu na songombingo za kabokamchizi wakati wa uchaguzi wa ndani wa chadema.
Kuna maeneo ambayo awali chadema ilikua na ufuasi mkubwa sana, but kwa hujuma na kukomoana hawatapata kuungwa mkono tena kwa makusudi tu kama muendelezo wa kuhujumiana, kutwezana utu, kukomoana na migawanyiko iliyokuwepo wakati wa uchaguzi wa ndani.
Vilio vya hujuma, usaliti na kukomoana kwa makusudi havitakoma ndani ya chadema mpaka maridhiano ya kweli yatakapofanyika, hata hivyo itachukua muda mrefu sana kuponya majeraha ya tuhuma za kizushi miongni mwao, na kutwezana utu binafsi na familia zao wakati ule wa kampeni za uchaguzi wao wa ndani.
Vikao vya kusimamishwa na kuenguana uanachama havitaisha, nadhani hiyo ni agenda mojawapo muhimu sana ya kiongozi mpya wa Chadema.
Una maoni gani π
Mungu Ibariki Tanzania
Sure,"Bila mabadiliko hamna uchaguzi" cdm naona mwaka huu wapo serious,wanaotaka kugombea waende vyama vingine.
Gentleman,Leo utaweka nyuzi ngapi za cdm ili tuziangalie zote jioni?
With due respect bila merely ushabiki, unaweza kutupa evidence za ukibaka wake ili nasisi tumuepe?Natamani sana Tanzania pawepo na very united and vibrant opposition,
sio utapeli unaofanywa na huyo kibaka wa siasa chadema
Nani tumwamini katibu mkuu au mwanachama wa kawaida?Sure,
wapo serious sana kuvunja katiba yao wenyewe na kuzawadiana vyeo kirafiki na kindugu, lakini pia kuibua na kubeba agenda za kujiangamiza na kujimaliza wenyewe kisiasa, mathalani agenda ya no reform no election
kiongozi au mwanachama anaeheshimu na kuzingatia katiba ya chama,Nani tumwamini katibu mkuu au mwanachama wa kawaida?
ni utapeli kuomba kuchagiwa pesa za matumizi mwaka jana,With due respect bila merely ushabiki, unaweza kutupa evidence za ukibaka wake ili nasisi tumuepe?
CHADEMA YA SASA HAINA MVUTONa katika uchaguzi mkuu wenyewe sasa, hujuma zitafanyika wazi wazi kabisa kwa wagombea uongozi wa chadema kama kulipa kisasi cha figisu na songombingo za kabokamchizi wakati wa uchaguzi wa ndani wa chadema.
Kuna maeneo ambayo awali chadema ilikua na ufuasi mkubwa sana, but kwa hujuma na kukomoana hawatapata kuungwa mkono tena kwa makusudi tu kama muendelezo wa kuhujumiana, kutwezana utu, kukomoana na migawanyiko iliyokuwepo wakati wa uchaguzi wa ndani.
Vilio vya hujuma, usaliti na kukomoana kwa makusudi havitakoma ndani ya chadema mpaka maridhiano ya kweli yatakapofanyika, hata hivyo itachukua muda mrefu sana kuponya majeraha ya tuhuma za kizushi miongni mwao, na kutwezana utu binafsi na familia zao wakati ule wa kampeni za uchaguzi wao wa ndani.
Vikao vya kusimamishwa na kuenguana uanachama havitaisha, nadhani hiyo ni agenda mojawapo muhimu sana ya kiongozi mpya wa Chadema.
Una maoni gani π
Mungu Ibariki Tanzania
CHADEMA imekosa uongozi ulioboranadhani sura ya uongozi wa kiongozi huyo mpya inajionyesha wazi kabisa,
kuna malalamiko ya hujuma za no reform no elections kutoka kwa katibu mkuu wa chadema taifa. kwamba agenda hii inahujumiwa, kumbe haieleweki tu kwa wanaChadema,
lakini pia kuna tuhuma za uongozi wa chadema taifa kunajisi katiba yao kwa kuteua ndugu, jamaa, marafiki na wanafamilia wake wasio hata na sifa wala vigezo vya uongozi na kuwapa nafasi kama zawadi.
unategemea nini wakati wa uteuzi kwajili ya urais, udiwani na ubunge?
Chadema itagawanyika zaid na hujuma zitakua mbaya zaid π
NONSENSE!Na katika uchaguzi mkuu wenyewe sasa, hujuma zitafanyika wazi wazi kabisa kwa wagombea uongozi wa chadema kama kulipa kisasi cha figisu na songombingo za kabokamchizi wakati wa uchaguzi wa ndani wa chadema.
Kuna maeneo ambayo awali chadema ilikua na ufuasi mkubwa sana, but kwa hujuma na kukomoana hawatapata kuungwa mkono tena kwa makusudi tu kama muendelezo wa kuhujumiana, kutwezana utu, kukomoana na migawanyiko iliyokuwepo wakati wa uchaguzi wa ndani.
Vilio vya hujuma, usaliti na kukomoana kwa makusudi havitakoma ndani ya chadema mpaka maridhiano ya kweli yatakapofanyika, hata hivyo itachukua muda mrefu sana kuponya majeraha ya tuhuma za kizushi miongni mwao, na kutwezana utu binafsi na familia zao wakati ule wa kampeni za uchaguzi wao wa ndani.
Vikao vya kusimamishwa na kuenguana uanachama havitaisha, nadhani hiyo ni agenda mojawapo muhimu sana ya kiongozi mpya wa Chadema.
Una maoni gani π
Mungu Ibariki Tanzania
Hii slogan yako 'vibaka na matapeli wa kisiasa'iko sahihi sana nami nitakuwanaitumia.na haina maono kabisa, ina vibaka na matapeli tu wa kisiasa