Kipindi cha WEMA SEPETU ndani ya EATV

Super Handsome

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
3,844
Reaction score
6,448
Star wa bongo movie anae tamba ndani na nje ya nchi sasa anakuja na kipindi kipya cha Televisheni kitakachokua kinarushwa ndani ya EATV pekee..

Kwa mujibu wa ukurasa wa facebook wa Eatv, kipindi hicho kitajulikana kama "In My Shoes".


katika ukurasa wa EATV wameandika hivi"

Hii lazima ieleweke hata iweje! Baada ya bandika bandua za kutosha, sasa tunakubandikia hii nyingine! Kutana na malkia namba moja anayetikisa hapa Bongo kwenye tasnia ya filamu, ulimbwende na biashara, Wema Abraham Sepetu kwenye reality show yake inayoitwa "In my Shoes" itakayoanza kudondoka hapa kwenye ting'a kali namba moko kwa vijana kuanzia mwezi ujao! Unasemaje?

Hujaelewa bado? Basi pole pole tu utaelewa, usiji-stress, Ama nini?

https://www.facebook.com/eatv.tv
 
Super handsome and maatope,whats wrong my couzins! Calm down and understand each other!
 
idea yake bado sana ajipange aje na kipindi tofauti na cha jay dee coz sioni kile cha jay dee kinafundisha nini anazingua 2 jipange mdada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…