Kipindi changu pendwa kutoka Milembe TV

Kipindi changu pendwa kutoka Milembe TV

Xav Emmanuel

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
215
Reaction score
316
MILEMBE TV [emoji342]
#####
HABARI ya Mujini na Kijijini ndugu mtangazaji wa kipindi changu pendwa kutoka MILEMBE TV [emoji342].

Ni kipindi ambacho kinaniwezesha mimi kama mtangazaji kuweka na kutoa mambo mbalimbali yanayohusu afya yangu ya akili na roho yangu kwa ujumla.

Nakukaribisha ww kama mpitaji na muchangiaji wa homa mbalimbali za wateja wangu.

Karibuni kufurahi....
[emoji12][emoji849][emoji2957][emoji16]

Starxav
 
*Kipindi kigumu wanachopitia wadada ni pale wanapokuwa kweny mahusiano mapya*

*huwa wanaogopa kuomba HELA*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Starxav
 
[emoji481][emoji481][emoji898][emoji2961][emoji2961]

Niligundua nimekuwa MTU mzima Siku nilipolipita kopo tupu LA juice ya azamu bila kulipiga teke.....

Ninaporudi nikaamua kulipiga teke ili nijipongeze kwa utu uzima wangu[emoji39]

[emoji482][emoji482][emoji898][emoji2961][emoji2961]

Starxav
 
Dada nakupa hai[emoji112]
unanichunia [emoji57].. wakati boy friend wako tukimwambia ww ni demu wake anakasilika[emoji35][emoji1787][emoji1787]

Starxav
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila Demu wangu huwa anapenda matani kweli Ona sasa ananiita Kaka mbele ya Mwanaume Mwenzangu ila Uzuri ana Heshima.!
[emoji847] [emoji847] [emoji847] [emoji847]

Starxav
 
Yaaani wanaume ambao hawana pesa,
wanajitahidi sana kwenye Ngono.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Starxav
 
[emoji4][emoji4][emoji4]
Jamani mwenye Kitambi naomba kesho aniazime nataka nivalie na suti.
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

Starxav
 
*Nyie mnaotaka Wadada wenye tako Hivi mnajua bei za sketi wanazovaa ,*

*mi nmegairi*

[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji2960][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]

Starxav
 
*majanga ya nchi*

*China - corona*

*Iran - vita*

*kenya - mapenz*

*Tanzania - Yanga*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Starxav
 
tueleweshane vizuri ni nini hiki te unacholeta
kumbe ni Jokes
nilidhani Milembe Hospital wameleta TV
HAYA MACHO NYUMAAAAS GEUKA HUKU UNATYPE KEYBODY
 
tueleweshane vizuri ni nini hiki te unacholeta
kumbe ni Jokes
nilidhani Milembe Hospital wameleta TV
HAYA MACHO NYUMAAAAS GEUKA HUKU UNATYPE KEYBODY
jaman jaman dhambi

Starxav
 
*Mda huu naamin ligi ya Vitandani inaendelea*

Kuna vyumba,,,
-saiv ni Mapumziko
Vyumba vyingine kuna red card, Full time, vitanda vingine saiv mpira ni Coner

Kuna baadhi ya vitanda mechi imeahirishwa

Sehemu zingine, score bord inasoma,,2-0..1-0, wengine ni 0-0

[emoji12][emoji12][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji2773][emoji341]

Starxav
 
Back
Top Bottom