Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hakuna kitu kinauma ulipie bill halafu muamala uwe una hang tu. Kibaya zaidi hata sms ya muamala usiipate.
Vodacom Tanzania kuanzia jana mpaka leo miamala inasuasua. Mkimaliza maboresho mtujuze ili tuendelee na nyie.
Sio Voda tu , mitandao yote itungiwe Sheria kuwa muamala ukikwama ukikamilika baada ya siku moja au zaidi walipishwe fidia ya usumbufu maana wameharibu bajeti ya mtu.
Voda kwenye notice yao wamesema maboresho hayataathiri huduma zingine lakini ni uongo. Mtandao uko slow, miamala mingine inakwama.
PIA SOMA
- Vodacom Tanzania yafanya Uboreshaji mkubwa wa Mtandao ili kuhakikisha mustakabali imara na wa muunganiko zaidi