Pre GE2025 Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?

Pre GE2025 Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Tumemaliza Uchaguzi wa Serikali za Mitaa November, 2024 na sasa tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025.

Tumeona hamasa zikifanywa na watu mbalimbali juu ya ushiriki wa wanawake katika ngazi mbalimbali, lakini je, inatosha?

Uchaguzi wa serikali za mitaa umeisha, ushiriki wa wanawake unaridhisha kwenye ngazi hii?

Pia soma: LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Wakati huu kuna vyana ambavyo vimefanya chaguzi za ndani, na CHADEMA wakiwa wanakamilisha uchaguzi wao Mkuu leo Januari 21, 2025, ushiriki wa wanawake ukoje? Tunapata picha gani kuelekea Oktoba 2025? Kuna mwanga au bado tunahitaji nguvu zaidi?

Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

==================================================

2024
2025

JANUARI

  1. Pre GE2025 - Nafasi za wabunge 19 zingekuwa za wanaume CHADEMA isingepeleka watu? Wangefukuzwa kama ilivyokuwa kwa kina Mdee?
  2. Mifumo Dume bado ni changamoto kwa Wanawake katika Vyama vya Siasa Nchini
  3. Wabunge viti Maalum waliohudumu kwa miaka 10 wapishe wengine kuchochea mabadiliko chanya, wasiwe ving'ang'a
  4. Bahati Issa Suleiman: Wanawake wanaotaka kuingia kwenye Uongozi wasiwe na hofu, ni haki yao Kikatiba
  5. Ushiriki mdogo wa wanawake nafasi za Uongozi CHADEMA unakwamisha juhudi za kufikia usawa wa kijinsia kwenye demokrasia
  6. "Wanawake katika Uongozi ni chachu ya kufikia Dunia yenye usawa”
  7. Majukumu ya nyumbani kikwazo kwa wanawake kuingia katika uongozi Zanzibar
  8. Mikakati ya vyama vya siasa katika kuongeza Uwakilishi wa wanawake katika vyombo vya maamuzi
FEBRUARI
  1. Mwanamke gani mwingine anafaa kuwa Rais baada ya kupata mwongozo kutoka kwa Rais Samia?
  2. Wanaume tuwaunge mkono wenza wetu watakaogombea nafasi za uwakilishi uchaguzi mkuu
  3. Wanawake Dar kuandaa tukio kusherekea mafanikio ya Rais Samia
  4. Waziri Gwajima: Jamii iwape wanawake nafasi na sauti katika uongozi
  5. Shilole azindua mama lishe na Samia
  6. Mwenyekiti UWT Taifa: Lisu asiitishie serikali ya CCM "atulizane"
  7. RC wa Manyara Queen Sendiga: Nitashangaa mwanamke unampigia kura mwanaume. Utakuwa umesaliti ajenda ya wanawake
  8. Siku ya Wanawake Duniani watumishi wasilazimishwe kununua vitenge vyenye picha ya Rais Samia, itakuwa uonevu
  9. Mapokezi ya Jesca Kishoa kwa wananchi Kata ya Nkalakala akiwa na vazi la kijani na kusindikizwa na nyimbo za CCM
  10. Baraza kuu la UWT Same lampongeza Rais Dkt. Samia
  11. Pre GE2025 - RC wa Manyara Queen Sendiga: Nitashangaa mwanamke unampigia kura mwanaume. Utakuwa umesaliti ajenda ya wanawake
  12. Rais Samia afunguka ya Moyoni: Kuna waliosema tuna Rais wa kuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party, hatuna Rais tuna House girl
  13. Mavunde awakabidhi shamba la Zabibu Umoja wa mama wafanyabiashara wadogo zaidi ya 300 Dodoma
  14. Pre GE2025 - Mbunge wa Covid 19, Nusrat Hanje atangaza kugombea jimbo la zamani la Tundu Lissu, Singida Mashariki
  15. Wakili Mwanaisha Mndeme atangaza kugombea Ubunge jimbo la Kigamboni kupitia ACT Wazalendo. Ataweza kumrithi Ndugulile?
  16. Pre GE2025 - Mbunge wa Covid 19, Nusrat Hanje atangaza kugombea jimbo la zamani la Tundu Lissu, Singida Mashariki
  17. Sophia Simba: Wanawake waliokaa muda mrefu kwenye Viti Maalum waachie nafasi kwa vijana
March
 
Hatukuumbwa kuongoza.
Twafaa kuongozwa.
Kiongozi mwanamke ni machukizo kwa Mungu
 
Hatukuumbwa kuongoza.
Twafaa kuongozwa.
Kiongozi mwanamke ni machukizo kwa Mungu
:BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:We unataka tutoke nje ya mada tuanza kupigana vichwa. Turudi kwenye mada na utupe sababu kwanini unadhani hivyo..... hili suala la kuumbwa hivyo ni ka namna ka kunyong'onyesha kundi fulani kushiriki kwenye masuala ya kijamii
 
Back
Top Bottom