Augustleo
Member
- Oct 13, 2016
- 87
- 60
Kuna kiongozi mmoja nimesoma kwenye Jf kwamba inaishauri serikali wa kupunguza Asilimia 80 ya waajiriwa wa serikali kwamba hawana kazi zaidi ya kupiga umbea.. We are born in the wrong country at the wrong time. Juhudi zote ambazo watu wameziweka kwenye kujisomesha mwisho wasiku Unashindwa ku utilize wale watu wasomi uliosomesha??
when you think things are worse some one come to prove you wrong that situation can be worse than that. hii ni shiti gavamenti. [emoji23]
when you think things are worse some one come to prove you wrong that situation can be worse than that. hii ni shiti gavamenti. [emoji23]