Mambo zenu. Nawaza kuhusu kuhamia kwenye kutengeneza vipindi kwenye television.
Najua faida inaweza patikana kwa matangazo na wadhamini. Kitu ambacho sina ni details ya kuwa vipindi vinaweza ingiza sh ngapi.
Kama kuna mtu anajua kwa uwakika zaidi faida ya kipindi chochote binafsi kinacho rushwa na tv ya hapa Tz anijuze tafadhali.