Kipindi maalum SIBUKA TV: Kumbukizi ya baba wa taifa

Kipindi maalum SIBUKA TV: Kumbukizi ya baba wa taifa

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Wanamajlis,
Katika kumkumbuka Baba wa Taifa nilitembelewa nyumbani na East
African Radio, Radio One Stereo, Raia Tanzania na Sibuka TV kwa
mahojiano.

Kikubwa walitaka kujua historia ya Baba wa Taifa wakati wa kupigania
uhuru wa Tanganyika.

Nakuwekeeni hapa chini kipande kidogo cha mazugumzo yetu:

Mohamed Said: KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA SIBUKA TV NYERERE DAY


DSCN0167.JPG
 
Back
Top Bottom