Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Oct 16, 2015 #1 Wanamajlis, Katika kumkumbuka Baba wa Taifa nilitembelewa nyumbani na East African Radio, Radio One Stereo, Raia Tanzania na Sibuka TV kwa mahojiano. Kikubwa walitaka kujua historia ya Baba wa Taifa wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika. Nakuwekeeni hapa chini kipande kidogo cha mazugumzo yetu: Mohamed Said: KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA SIBUKA TV NYERERE DAY
Wanamajlis, Katika kumkumbuka Baba wa Taifa nilitembelewa nyumbani na East African Radio, Radio One Stereo, Raia Tanzania na Sibuka TV kwa mahojiano. Kikubwa walitaka kujua historia ya Baba wa Taifa wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika. Nakuwekeeni hapa chini kipande kidogo cha mazugumzo yetu: Mohamed Said: KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA SIBUKA TV NYERERE DAY