Kipindi maalumu cha kumbukumbu ya Abdul Sykes MUM Fm

Kipindi maalumu cha kumbukumbu ya Abdul Sykes MUM Fm

Sasa shekh si utelee kabisa tusome hiyo link mbona haifunguki
 
Niliwahi kusikia huyu bwana Mkubwa aliifanyia mengi Tanganyika wakati wa kudai Uhuru ila Tanganyika na Nyerere hawakutaka aandikwe ktk historia ya nchi kwa sababu wajuazo wao.
 
Nikiwahi pia kusoma article iliyoandikwa na Geoffrey R. Owens ikielezea Tetris kuhusu harakati za kutafuta ukuru wa Tanganyika...akielezea mchango wa kleist's family...anyway, historia ya uhuru wa Tanganyika imeliwa chumvi sana....watoto wanajifunza historia inayowafurahisha wachache.
 
Back
Top Bottom