Nikiwahi pia kusoma article iliyoandikwa na Geoffrey R. Owens ikielezea Tetris kuhusu harakati za kutafuta ukuru wa Tanganyika...akielezea mchango wa kleist's family...anyway, historia ya uhuru wa Tanganyika imeliwa chumvi sana....watoto wanajifunza historia inayowafurahisha wachache.