Binti Maria
Senior Member
- Jun 26, 2007
- 158
- 33
Kutakuwa na kipindi maalumu cha Dk Slaa katika ITV leo siku ya mwisho wa kampeni kuanzia saa 9.30 hadi saa 10.30 jioni. Katika kipindi hiki Dk Slaa atafanya majumuisho ya kampeni zake na kuwaomba tena watanzania wamchague hiyo kesho.
Awali kipindi hiki kilikuwa kirushwe kuanzia saa 11 hadi saa 12, lakini katika hali ya kushangaza, ghafla ITV wameomba radhi kwamba kipindi hiki hakiwezi kuonyeshwa katika muda uliokubaliwa awali. Habari zilizopo ni kwamba CCM wakiongozwa na Kinana wameenda leo asubuhi kuwaomba ITV wasionyeshe hicho kipindi katika muda huo na wakaomba ITV waungane naTBC kurusha mkutano wa JK live Jangwani. Safari ya ukombozi ni ndefu lakini lazima tuitembee.