Ndugu zangu Watanzania, naomba niwaambia nimekaa namsikiliza Dr. Slaa. Jamani machozi yananibubujika ninapomsikiliza Dr. Slaa maana mambo anayoongea ni ukombozi wa nchi yetu kabisa. Anaongea mambo ya msingi ambayo yanamgusa mwananchi moja kwa moja.
Ndugu zanguni nawaombeni kwa mikono miwili tumchague Dr. Slaa.
Tuache ushabiki wa kishamba jamani, Dr. anaongea mambo ya msingi kwa mstakabali wa taifa letu.
MIMI, MAMA YANGU, MKE WANGU, RAFIKI ZANGU, TWENDE KUPIGA KURA TUMCHAGUE MKOMBOZI WA NCHI HII.
HEBU FIKIRIA, NCHI YETU IMEKUWA SHAMBA LA BIBI