sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Mnyama aunguruma leo Taifa, baada ya kuwapigisha kwata la kutosha 'wajeda' wa Ruvu Shooting. Leo tumetakata vya kutosha, nadhani Tanzania imeona, Dunia imeona. Simba SC imeshinda goli 2-1.
Wafungaji wa mechi ya leo ni Ajibu na 'homa ya jiji' Mavugo.
Huko Mtwara, Wazee Wa Kimataifa wameendelea kugeuzwa punching bag, baada ya kutoka suti na Ndanda.
Ikumbukwe ni hawa hawa Ndanda waligongwa 3-1 na Mnyama katika mechi ya ufunguzi wa ligi kuu Msimu huu wa 2016/2017.
Nadhani sasa mmeanza kuamini yale maneno ya kocha bora kabisa toka nchini Kameruni, kua kuna matatizo madogo madogo anayafanyia kazi, ndani ya mechi tatu au mbili.. Ole wake tutakayekutana nae baada ya hizo mechi.
Shikamoo Joseph Marius Omog.