Kipindi Mnyama akigawa dozi Shamba la Bibi.. Yanga waendelea kugeuzwa Punching Bag.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Mnyama aunguruma leo Taifa, baada ya kuwapigisha kwata la kutosha 'wajeda' wa Ruvu Shooting. Leo tumetakata vya kutosha, nadhani Tanzania imeona, Dunia imeona. Simba SC imeshinda goli 2-1.
Wafungaji wa mechi ya leo ni Ajibu na 'homa ya jiji' Mavugo.

Huko Mtwara, Wazee Wa Kimataifa wameendelea kugeuzwa punching bag, baada ya kutoka suti na Ndanda.
Ikumbukwe ni hawa hawa Ndanda waligongwa 3-1 na Mnyama katika mechi ya ufunguzi wa ligi kuu Msimu huu wa 2016/2017.

Nadhani sasa mmeanza kuamini yale maneno ya kocha bora kabisa toka nchini Kameruni, kua kuna matatizo madogo madogo anayafanyia kazi, ndani ya mechi tatu au mbili.. Ole wake tutakayekutana nae baada ya hizo mechi.

Shikamoo Joseph Marius Omog.

 
Mbeya City chama, nasikia inagawa dozi tu
 
Reactions: 7ve
Mkuu mimi ni mnazi wa Simba Sports club ila nakiri kwamba wewe umenizidi maili nyingi sana...
 
Kwani na simba mechi moja c na drop bilabila au ....sasa kuna mini?kama ni kweli basiushabiki Mimi basi
 


!
!
tutamfumua mtu nje na ndani....waje waje oooh waje waje waje na rafiki zaooo waje oooh waje waje.
 
Leo mkuu sembo inaonekana usingizi wako utakuwa wa raha sana, aya bana ila mmetangulia kwa baiskeli ya miti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…