Kipindi – Programu bandia , Usajili wa Namba za simu

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Posts
4,201
Reaction score
236
Kipindi – Programu bandia , Usajili wa Namba za simu

Karibuni tena katika kusikiliza Kipindi cha Ulimwengu wa Teknohama Leo hii tuliongelea Programu/Software Bandia pamoja na usajili wa namba za simu .

RapidShare: 1-CLICK Web hosting - Easy Filehosting

Gonga kwenye Free User itahesabu Sekunde mpaka Alama ya Download itatokea kisha Gonga Download uweze kuhifadhi na kusikiliza

Hotfile.com: One click file hosting: USAJILI WA NAMBA NA PROGRAM BANDIA-13_06_2010.mp3

Gonga Regular Download itahesabu sekunde kisha utaweka Namba utakayoulizwa kisha download na uweze kusikiliza

Karibu kwa maoni na ushauri .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…