Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
- Thread starter
-
- #21
Naam..mashaka yaliyopo ni kwamba, uwekezaji usipoangalia misingi yetu utatupoka uhuru wetu na pia hata kama kila kitu katika Nchi hii kikiwekezwa haimaanishi tutakuwa tunamaliza shida zetu.Uwekezaji ni suala la duniani pote.Muhimu ni kujifunza kwa wengine waliofanikiwa kwenye uwekezaji.Pili serikali ilishashindwa kuendesha biashara.Sekta binafsi ndio injini ya uchumi wowote duniani.Huwezi endelea kwa kuwa kisiwa ni lzm ushirikiane na wengine Ili usonge.
Dunia imebadilika, huwezi maliza shida zote hata ulaya awajamiliza,but angalauNaam..mashaka yaliyopo ni kwamba, uwekezaji usipoangalia misingi yetu utatupoka uhuru wetu na pia hata kama kila kitu katika Nchi hii kikiwekezwa haimaanishi tutakuwa tunamaliza shida zetu.
Kuna kitu tunatakiwa kuwekeza zaidi.
Haihitaji article. Alishindwa kututoa kwenye umaskini hilo tu linatosha. Na upande wa chakula aliturudisha nyuma zaidi na sera zake za mashamba ya ujamaa. Alifeli sana kama kiongozi maana lengo kuu la kiongozi na matarajio makuu ya wananchi toka kwa viongozi wao ni kuboreshewa maisha na si longolongo zingine. Kwa hili alifeli.Unapimaje kuwa alishindwa? Na nini kupimo cha aliyeshinda?
Andika article kwa kirefu uchambue kushindwa kwake na kuhusu hao unaowajua walishinda.
Twende tukawekeze kwao basi hata kwenye kilimo tu.Dunia imebadilika, huwezi maliza shida zote hata ulaya awajamiliza,but angalau
Unazungumza kwa porojo, zungumza kwa data. Siku zote data ndio zinaonyesha kama umesogea au uko pale pale.Haihitaji article. Alishindwa kututoa kwenye umaskini hilo tu linatosha. Na upande wa chakula aliturudisha nyuma zaidi na sera zake za mashamba ya ujamaa. Alifeli sana kama kiongozi maana lengo kuu la kiongozi na matarajio makuu ya wananchi toka kwa viongozi wao ni kuboreshewa maisha na si longolongo zingine. Kwa hili alifeli.
Mkumbushe na Tanganyika packers( Cow way ) au Kawe ilikuwa inafanya kazi na sukari wetu walipata proteineou food kutika pale wakati wa vita ya Tanzania na Uganda.Unazungumza kwa porojo, zungumza kwa data. Siku zote data ndio zinaonyesha kama umesogea au uko pale pale.
Kukusaidia kidogo sana nakupa picha. Wakati tunapata uhuru hatukuwa na chuo kikuu lakini wakati anaondoka madarakani tulikuwa na vyuo vikuu 2 na vyuo vya juu vingine kama IMF Mzumbe. Watoto asilimia 100 walikuwa wanaenda shule ya msingi tena bure. Ukitaka kupima chambua kama hivyo then ndio unaconclude.
Ametoka madarakani bado Tanzania ikiwa nchi maskini ya kutupwa ikitegemea misaada. Vyuo vikuu viwili hata mgojwa ww akili akikaa ikilu miaka 23 vinaweza kujengwa.Unazungumza kwa porojo, zungumza kwa data. Siku zote data ndio zinaonyesha kama umesogea au uko pale pale.
Kukusaidia kidogo sana nakupa picha. Wakati tunapata uhuru hatukuwa na chuo kikuu lakini wakati anaondoka madarakani tulikuwa na vyuo vikuu 2 na vyuo vya juu vingine kama IMF Mzumbe. Watoto asilimia 100 walikuwa wanaenda shule ya msingi tena bure. Ukitaka kupima chambua kama hivyo then ndio unaconclude.
Vyote hivyo wale wenye connections ndani ya ujamaa walijilia safi na kuvifisadi. Ujamaa na ufisadi ni damudamu.Mkumbushe na Tanganyika packers( Cow way ) au Kawe ilikuwa inafanya kazi na sukari wetu walipata proteineou food kutika pale wakati wa vita ya Tanzania na Uganda.
Leo watu wanakanyaga mafuta pale.
Mjaamaa gani unamzungumzia?. Kama ni Ujamaa wa Kiafrika utakuwa hujaelewa unachochangia au unachangia usichokielewa.Vyote hivyo wale wenye connections ndani ya ujamaa walijilia safi na kuvifisadi. Ujamaa na ufisadi ni damudamu.
Wajamaa wananunua ndege ili wapande bure wao viongozi, wanaanzisha mashamba ya ng'ombe halafu wao wanakunywa maziwa bure. Na hao ndiyo hadi leo wanasema ujamaa ulikuwa mzuri. Hakuna mfumo mbaya na wa kifisadi kama ujamaa.
Leo hii ni miaka 35 tangu Nyerere atoke madarakani lakini huna uwezo wa kufanya hata analysis ndogo halafu unamlaumu Nyerere kashindwa kukutoa kwenye umaskini. Kwa kiwango chako cha uelewa unastahili kuwalaumu wazazi wako sio Nyerere.Ametoka madarakani bado Tanzania ikiwa nchi maskini ya kutupwa ikitegemea misaada. Vyuo vikuu viwili hata mgojwa ww akili akikaa ikilu miaka 23 vinaweza kujengwa.
Nazungumzia Ujamaa wa Kiafrika,Ujinga mtupu! Hujui ujamaa ni umasikini?
Hivi wewe ulikuwepo kweli kwenye zama zile za kupanga mstari kupata kipande cha sabuni?
Yani ukipata sabuni unaenda nyumbani ukiimba nyimbo za shangwe
Huo huo sitaki hata kuusikia ni umasikini ndio mwanzo wa kuwaita watu wanyonge ili waibiwe bila kuhojiNazungumzia Ujamaa wa Kiafrika,
Huo huo sitaki hata kuusikia ni umasikini ndio mwanzo wa kuwaita watu wanyonge ili waibiwe bila kuhoji