Kipindi wenzetu .... Sisi ....

Kipindi wenzetu wakifungwa goli 3 ndani ya mechi 1 na mchezaji 1.. Sisi hizo goli 3 tumefungwa na wachezaji tofauti tofauti baada ya kucheza idadi ya mechi 6.
Sifa za kijingaa
 
9. Kipindi wenzetu wakijisifia kua kocha wao Mkuu, ni Papaa, na maarufu sana katika kumbi za starehe hapo Kongo... Sisi tunajivunia kua na kocha ambae pia ni mwalimu wa mieleka kwani kasaidia kujenga fiziki ya timu, ambapo sasa timu inaweza kucheza masaa 10 bila kupumzika
 
Siyo mmiliki wa Simba ila anashare Simba,anafanya ivyo bunju anatarget yake,muda utaongea
Mkuu una stress??

1. Ulianza ujenzi wa uwanja Bunju ni kampeni.. Baada ya kukuelewesha, umeibuka na hili..
2. Mo anajenga uwanja kwa vile ana target zake.. (na si tena kampeni)

Alafu unatakiwa utambue kua.. Mo ndo mmiliki wa Simba SC kwa sasa.
 
Hats idadi ya mechi ulizocheza hadi sasa hujui, kweli mbumbumbu ni sahihi kwako.
Kipindi wenzetu wakifungwa goli 3 ndani ya mechi 1 na mchezaji 1.. Sisi hizo goli 3 tumefungwa na wachezaji tofauti tofauti baada ya kucheza idadi ya mechi 6.
 
Hats idadi ya mechi ulizocheza hadi sasa hujui, kweli mbumbumbu ni sahihi kwako.
We Ndala hiyo ni typing error.. Ni sawa nawe baada ya kuandika Hata ukaandika Hats.. Haya mambo yanatokeaga.
 
kipindi top four imeshajulikana, sisi chelsea tupo nafasi ya 1
 
We Ndala hiyo ni typing error.. Ni sawa nawe baada ya kuandika Hata ukaandika Hats.. Haya mambo yanatokeaga.
Bora hiyo hats umeielewa kuwa namaanisha neno hata. Hila siyo uongo wako unaotulisha hapa. Wakati mapenzi na ushabiki ukizidi utufanya tuonekane vichwa vitupu.
 
Bora hiyo hats umeielewa kuwa namaanisha neno hata. Hila siyo uongo wako unaotulisha hapa. Wakati mapenzi na ushabiki ukizidi utufanya tuonekane vichwa vitupu.
Katika keyboard ya simu yako mbele ya a kuna s.. Na mbele ya 6 kuna 7.. Sasa ubora uko wapi?
 
Mkuu una stress??

1. Ulianza ujenzi wa uwanja Bunju ni kampeni.. Baada ya kukuelewesha, umeibuka na hili..
2. Mo anajenga uwanja kwa vile ana target zake.. (na si tena kampeni)

Alafu unatakiwa utambue kua.. Mo ndo mmiliki wa Simba SC kwa sasa.
Mo siyo mmiliki ni investor
 
Tofauti kubwa iliyopo kati ya SIMBA na YANGA kwa sasa ... Kuna mmoja ana Muwekezaji na mwingine ana Bakuli
0ver.
 
mngechomoa mechi ya Biashara united"tunajiandaa na mechi ya kimataifa na Yanga" aibu kubwa hii
 
mngechomoa mechi ya Biashara united"tunajiandaa na mechi ya kimataifa na Yanga" aibu kubwa hii

Mkuu baada ya Yanga kulia lia kwa TFF kua wana mechi za karibu karibu kabla ya game ya Mnyama .. TFF ikaona isiwe kesi ikaahirisha mechi yenu. Ili kutenda haki ndipo mechi yetu dhidi ya Biashara nayo ikaahirishwa. Ila kwa kifupi, Biashara tuliwatamani sana.
 
Mkuu, Usisahau kwamba pamoja na utani kuhusu Kaunda Stadium, Yanga ilikuwa ya kwanza kuwa na uwanja wake. Hata ule wa cha ndimu hamkuwa nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…