balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Shahidi wa Yehova naye ni kocha? Saa hizi Mavi yanagonga kwenye chupi zenu baada ya kanjibahai ku Ben wa,leo asubuhi.8. Kipindi wenzetu kocha wao Mkuu ni anapiga deiwaka tu hapo, maana kaajiliwa timu ya Taifa ya Kongo, ambapo timu ya Taifa ikiwa inacheza lazima aende.. Sisi kocha wetu Mkuu, mwajiri wake pekee ni Simba SC.
Wakati yanafurahisha pesa ya Kanjibahai ujue yy ypo anajambishwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuuMajigambo mengi ila nimetazama CV ya Patrick anafundisha timu msimu mmoja mmoja..tatizo nini???huku mitaani wanasema ni mwalimu wa mieleka ndio maana mazoezini anakuja na viblanket wachezaji wasichubuke makalio.....wengine wamefika mbali wanadai ni Jehova witness...mark my words mtamfukuza kabla ya msimu kumalizika..midevu kama beberu...
A story for another day. Poleni issue ya Mo.Ni kweli Mkuu.. Maendeleo yake yakoje kwa hivi sasa?
Shabiki wa Ndala: 'Ajibu.. Ajibu yule.. Kwa kufunga magoli ya tikitaka.. Duniani hakuuuuna!'
Shabiki wa Simba: Sifa za Kijinga.
Kwa Manji si mlisherehekea,na uwanjani mkazomea? Kwakuwa Manji hakuwa Simba sasa hivi Mo siyo Yanga na msitulazimishe kulia na nyie.Mkuu hili si jambo la kufurahisha hata kidogo. Usijihisi hapo ulipo upo salama.. Tukio hili linaweza mkuta mtu yoyote na mda wowote.. Tunatakiwa tumuombee uko alipo atoke salama.
A story for another day. Poleni issue ya Mo.
Kipindi wenzetu wakilalamika ajibu kaanza mpira kwa kutoa nje, sisi tunaendelea kukusanya points kwa kumpiga mbabe wa mikia, mbao fc
sembo leo nimeangalia game ya Zambia vs Guinea-Bissau na Claotus Chama kapiga dk 90 jamaa ni bonge la mchezaji. Simba wamtumie regularly watapata faida sana.
Kipindi mnaendelea kuota ndoto za tarehe 21/10 kama mlivyoota ndoto za 30/09 pasipo kutimia, sisi tunaangalia aliye mbele yetu na kumnyoosha huku tukiwa na mechi moja mkononiKipindi wenzetu wakijisifia kumfunga Mbao... Sisi 21/10/2018 tunaenda kuwafundisha ni jinsi gani Kitenge anazuilika.
Batalokota mupila kunyafu.Kipindi mnaendelea kuota ndoto za tarehe 21/10 kama mlivyoota ndoto za 30/09 pasipo kutimia, sisi tunaangalia aliye mbele yetu na kumnyoosha huku tukiwa na mechi moja mkononi
Wacha uwongo. Naona uwongo wako ni wa kiwango cha PhD. By the way tuachane na huu upuuzi maana bado tuna masikitiko ya kutekwa kwa Muwekezaji wetu.Mkuu baada ya Yanga kulia lia kwa TFF kua wana mechi za karibu karibu kabla ya game ya Mnyama .. TFF ikaona isiwe kesi ikaahirisha mechi yenu. Ili kutenda haki ndipo mechi yetu dhidi ya Biashara nayo ikaahirishwa. Ila kwa kifupi, Biashara tuliwatamani sana.
Mimi usijali bana,hata kidomodomo wenu yuko ndani sioni tatizo,pambaneni na hali zenu.Mlitucheka sana.