Kipindi wenzetu .... Sisi ....

Inacheza masaa 10 then inapokea kichapo kutoka kwa waranda Mbao, hii ni balaa mkuu!!!
 
Mkuu hili si jambo la kufurahisha hata kidogo. Usijihisi hapo ulipo upo salama.. Tukio hili linaweza mkuta mtu yoyote na mda wowote.. Tunatakiwa tumuombee uko alipo atoke salama.
Mkuu tulitegemea mashabiki wa Simba mtajikita kwenye issue ya kumuombea MO atoke salama huko alikopelekwa but wenzetu ndio kwanza mnaanza kejeli dhidi ya Yanga. Wakati mashabiki wa Yanga wameonesha mshikamano kwenye hili jambo. Si kama wanasimba walivyokuwa wanamkejeli Manji wakati akiwa kwenye Matatizo.
 
Na sasa wakati tunamtafuta Mo, wenzetu wanafanya nini? [emoji27][emoji27][emoji40][emoji40][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…