Kipindupindu hakiepukiki Dar kwa hali hii

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Kipindupindu ni ugonjwa unaoambukizwa kwa mwanadamu kula kinyeshsi FRESH cha mwanadamu mwenzake. Kipindupindu si tu ugonjwa, ni ugonjwa wa aibu maana umekula "puu" ya mwezio.

Kipindupindu ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na bakteria anayejulikana kama Vibrio cholerae. Ugonjwa huu huathiri njia ya utumbo na mara nyingi husababisha dalili za kuhara kali na kutapika, ambazo zinaweza kusababisha upungufu mkubwa wa maji mwilini.

Katika hali ya ama kutojali, kutokujua, makhsudi ama kukomoa, ama kumkwamisha kwa maksudi Mh Mama Samia Suluhu Hassan aonekane hajali , wahusika na wenye mamlaka hayo , katika jiji la Dar es salaam mkabala na Vyuo vya DIT na CBE wameruhusu mighahawa ya chips, vyakula na staftahi kuendeshwa juu ya vinyesi "fresh" .

Kumbuka Majengo ya Serikali kwenye makutano ya Bibi Titi Mohamed na Morogoro Road chuo cha DIT kimepewa na SErikali na wameyageuza Hostel , na lile ghorofa kubwa la RED CROSS linalotazamana na CITY MALL nalo limesheheni wanafunzi, hawa wote wanakula kwenye kinyesi tajwa na muda wote usiku wanakesha huko barabarani.

Ile mighahawa ina anzia pale Tume ya Kazi [CMA] mpaka ELIA COMPLEX ambo vinyesi vipya vinavyonukia na mchuzi wake vimesamba na juu yake watu wapo comfortable wanauzia watoto wa Mama vyakula bila kujali afya.

Bwana Afya wilaya ya Ilala huenda yupo likizo , msaidizi wake huenda yupo "fungate" honey moon na watendaji wake huenda hawana fungu la kutoka Pale Ilala Boma mpaka DIT kutembelea na kukagua kinyesi walishwacho hawa wanafunzi.

NAMNA YA KUZUIA KIPINDUPINDU KWA WANAFUZI WA DIT/CBE
  • Kunywa maji safi na salama, yaliyochemshwa au kufanyiwa usafi kwa dawa.​
  • Kula vyakula vilivyopikwa vizuri na kufunikwa.​
  • Kuosha mikono kwa sabuni na maji kabla ya kula na baada ya kutoka chooni.​
  • Kuepuka vyakula vilivyotengenezwa au kuuzwa katika mazingira yasiyo safi​

BWANA AFYA ILALA na Watendaji wako , Mwakani mwezi wa saba , kama Bajeti ikipita , muombe fungu la mafuta ya kutoka Ilala Boma kwenda hapo DIT,CBE kutembelea na kuchukua hatua mara moja ili Basi raisi wetu mpendwa uongozi wake usiingie kashfa ya kuwa na kipindu-pindu.

WAZIRI WA AFYA:
Jenista Mhagama,
Mdogo wangu najua upo busy kusaini mikataba na kandarasi kubwa kubwa za Wizara, na pia hii njia hupiti, yani wewe unapita , Drive inn-, Toure rd, Barack Obama, al Hassan Mwinyi na Nyerere Road ukienda Ulaya kwenye vikao, kwa hili la Kipindupindu ninjambo dogo sana wala usijishughulishe nalo.

Kama hamjali, basi Rais wetu mpendwa, akisoma hii, tunaomba atuletee Bwana afya Toka Katavi, Uyui, songwe au Singida vijijini ambaye hatajali nauli, posho wala usafiri yaani atapanda daladala za Kigogo -Mnazi mmoja aje kukagua na kufungia hii mighahawa mpaka watengeneze hizo chemba zenye "kishesi fresh" na mchuzi " unaonukia !

#Mama Yupo Kazini, tusimkwamishe!

Kipindupindu ni ugonjwa unaoambukizwa kwa mwanadamu kula kinyeshsi FRESH cha mwanadamu mwenzake.
Kipindupindu si tu ugonjwa, ni ugonjwa wa aibu maana umekula "puu" ya mwezio.

Kipindupindu ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na bakteria anayejulikana kama Vibrio cholerae. Ugonjwa huu huathiri njia ya utumbo na mara nyingi husababisha dalili za kuhara kali na kutapika, ambazo zinaweza kusababisha upungufu mkubwa wa maji mwilini.

Katika hali ya ama kutojali, kutokujua, makhsudi ama kukomoa, ama kumkwamisha Mh > Mama Samia Suluhu Hassan aonekane hajali , wahusika na wenye mamlaka hayo , katika jiji la Dar es salaam mkabala na Vyuo vya DIT na CBE wameruhusu mighahawa ya chips, vyakula na staftahi kuendeshwa juu ya vinyesi "fresh" .
Kumbuka Majengo ya SErikali kwenye makutano ya Bibi Titi Mohamed na Morogoro Road chuo cha DIT kimepewa na SErikali na wameyageuza Hostel , na lile ghorofa kubwa la RED CROSS linalotazamana na CITY MALL nalo limesheheni wanafunzi, hawa wote wanakula kwenye kinyesi tajwa na muda wote usiku wanakesha huko barabarani .

Ile mighahawa ina anzia pale Tume ya Kazi [CMA] mpaka ELIA COMPLEX ambo vinyesi vipya vinavyonukia na mchuzi wake vimesamba na juu yake watu wapo comfortable wanauzia watoto wa Mama vyakula bila kujali afya.

Bwana Afya wilaya ya Ilala huenda yupo likizo , msaidizi wake huenda yupo "fungate" honey moon na watendaji wake huenda hawana fungu la kutoka Pale Ilala Boma mpaka DIT kutembelea na kukagua kinyesi walishwacho hawa wanafunzi.

NAMNA YA KUZUIA KIPINDUPINDU KWA WANAFUZI WA DIT/CBE
  • Kunywa maji safi na salama, yaliyochemshwa au kufanyiwa usafi kwa dawa.​
  • Kula vyakula vilivyopikwa vizuri na kufunikwa.​
  • Kuosha mikono kwa sabuni na maji kabla ya kula na baada ya kutoka chooni.​
  • Kuepuka vyakula vilivyotengenezwa au kuuzwa katika mazingira yasiyo safi​

BWANA AFYA ILALA na Watendaji wako , Mwakani mwezi wa saba , kama Bajeti ikipita , muombe fungu la mafuta ya kutoka Ilala Boma kwenda hapo DIT,CBE kutembelea na kuchukua hatua mara moja ili Basi raisi wetu mpendwa uongozi wake usiingie kashfa ya kuwa na kipindu-pindu.

WAZIRI WA AFYA:
Jenista Mhagama,
Mdogo wangu najua upo busy kuaini mikataba na kandarasi kubwa kubwa za Wizara, na pia hii njia hupiti, yani wewe unapita Obama, al Hassan Mwinyi na Nyerere Road ukienda Ulaya kwenye vikao, kwa hili la Kipindupindu ninjambo dogo sana wala usijishughulishe nalo.

Hatari sana, hao mabwana afya waliotoa vibali kwa hao wa migahawa inabidi wawe wanaenda sehemu hizo kukagua hata kabla ya kutoa vibali.
 
Siyo hapo TU,siku hizi ni mkoa mzima.
Watu wanaamua kufungua tu sehemu za mama ntilie/migahawa ya vyakula bila kufata taratibu za afya.
Yani kama kkoo ndo kabisaaaa mitaro ya maji ya nnya inatiririka na watu wanauziwa mihogo/mishikaki/ndizi/vitumbua hovyo sana.
Yani mjini kwa sasa pamekua takataka kabisaaa
 
Mkuu,
Asante Sanaa kwa andiko lako zuri Ila usisahau siku nyingine kuweka japo ka picha kunogesha bandiko lako.
 
Siyo hapo TU,siku hizi ni mkoa mzima.
Watu wanaamua kufungua tu sehemu za mama ntilie/migahawa ya vyakula bila kufata taratibu za afya.
Yani kama kkoo ndo kabisaaaa mitaro ya maji ya nnya inatiririka na watu wanauziwa mihogo/mishikaki/ndizi/vitumbua hovyo sana.
Yani mjini kwa sasa pamekua takataka kabisaaa
Alas! Mpaka Kariakoo !
Basi Mh Rais achukue ma -Bibi Afya huko mikoani waje kusaidia, maana wa Dar es salaam wapo busy sana.
 
Juzi tulipokea wagonjwa wawili, watu wazingatie usafi.

Sio kila habari MillardAyo ataandika, jiongezeni.

Afya yako ni kitu cha muhimu sana.
 
Back
Top Bottom