KERO Kipindupindu Simiyu kimeshamiri, kinaua ni hatari! Mbona Serikali haiweki wazi 'status' ipoje?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Taarifa zipo open wanaambiana chini kwa chini tu wagonjwa wanafichwa watu wanakufa serious kabisa ila ndio hivyo hakuna anaejali
Sawa. Ila mimi kwa wiki 2 niiizokaa huko hadi tarehe 10 november sijasikia mtu kufa. Japo za ndani wanasema kuna kipindupindu inafikirisha sana hasa kipindi hiki cha kiangazi
 
Ni mwenyeji uko majitu yanakunya hovyo hovyo tu popote n choo.
Oya acha utani kipindupindu kisikie hivyo hivyo kinapita na watu, pharmacy zimejazwa oral kimya kimya pumbavu hawawatangazii watu km kuna kipindupindu tho kuna redio nilisikia imejilipua wakatangaza kuna kipindupindu na watu wanakufa
 
Sawa. Ila mimi kwa wiki 2 niiizokaa huko hadi tarehe 10 november sijasikia mtu kufa. Japo za ndani wanasema kuna kipindupindu inafikirisha sana hasa kipindi hiki cha kiangazi
Babu kipo wagonjwa wanafichwa ila kipindupindu kipo, ukipita barabarani huwezi kuwaona wagonjwa wa kipindupindu utaona kawaida tu ila kipo
 
Kondoo wacheni kunya bila kuchamba na maji.
 
Taarifa zipo open wanaambiana chini kwa chini tu wagonjwa wanafichwa watu wanakufa serious kabisa ila ndio hivyo hakuna anaejali
Taarifa zipo open wanaambiana chini kwa chini tu wagonjwa wanafichwa watu wanakufa serious kabisa ila ndio hivyo hakuna anaejali
Kuna vitu tukubaliane
1. Kipindupindu siyo Siri na serikali imepiga kambi simiyu kwahiyo kusema hawajali sio sawa….
2. Hakuna haja ya kupublicize aibu… kwani kipindupindu ni kula MAVİ, na mavi yanaliwa kupitia maji madharu… NINGEKUA KIONGOZI NINGEFUNGA KILA MWENYE KIPINDUPINDU
 
Sawa huko watu wanakunya machakani baadhi wengine ni km wanaishi zama za mawe mtu anajenga nyumba hajengi choo ukijiuliza anakojoa wapi anakunya wapi hayakuhusu kwa hio ni mwendo wa mainzi tu ila sasa pamoja na hayo serikali ijitahidi kusogeza huduma ya maji safi na salama halafu suala la mainzi kuna mainzi sio poa watu wengi wanajisaidia machakani mtu choo hiki hapa kunya nje kwake sio kitu cha ajabu, Serikali huko iseme kabisa kujenga choo ni lazima maana watu wanakunya kunya ovyo halafu mainzi ni kibao ndio wanaosambaza kipindupindu
 
Simiyu hawajengi vyoo, wanakunya porini

Wabishi

Lakini wanataka huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…