Mbabaishaji
Senior Member
- Nov 13, 2018
- 121
- 215
Eneo: Kiluvya Madukani Km 02 toka barabara kuu
Ukubwa: 600sqm
Bei : 6m
Ukubwa: 600sqm
Bei : 6m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa mwongozo;-Jifunze kuwekwa tangazo lililkamilika ili kuweza kupata wanunuaji
1. Kiwanja kina hati au leseni ya makazi?
2. Kama hakina je kimepimwa labda mnasubiri hati?
3. Kama hakina vyote hivyo je kiwanja kina makubaliano yeyote ya kimaandishi kuwa unakimiliki?
4. Hata picha ya kiwanja hujaweka, je wewe ni dalali au ni kiwanja chako?
5. Sijui kama unaelewa nachokwamba