Jifunze kuwekwa tangazo lililkamilika ili kuweza kupata wanunuaji
1. Kiwanja kina hati au leseni ya makazi?
2. Kama hakina je kimepimwa labda mnasubiri hati?
3. Kama hakina vyote hivyo je kiwanja kina makubaliano yeyote ya kimaandishi kuwa unakimiliki?
4. Hata picha ya kiwanja hujaweka, je wewe ni dalali au ni kiwanja chako?
5. Sijui kama unaelewa nachokwamba