Kipondo havi kwa shemeji....

Hahahahaaa hio adhabu haitoshi Mpwa ulitakiwa um-disable hio biology yake kabisa tuone kama angekua kidume tena! Ntakuambia next time jinsi ya kui-disable hata kwa mwezi tu! Lazima aje akupigie magoti tena kwa machozi umrudishie nguvu kidogo!
 
Amenyanyasa sana ndugu zangu huyu ***** zake....akafikiri wote wakuja

ninachoweza kukushauri waamzi wa kuachana na huyo jamaa mwachie dada yako lakini wamzi ulioufanya wa kumpa kichapo nakuunga mkono kwa zaidi ya asilimia mia na ninaamini hatakama wataendelea kuishi na dada yako hata mpiga tena kijingajinga...kwenye kikao waambie kama akirudia kumpiga dada yako mpaka mkumvuja hata kucha utamwibukia akiona vipi atoe hiyo talaka..
 
mkuu unanyongo kweli yaani mtu akumwangie chai kama haitoshi amtwange dada yako na matusi juu halfu nimchekee tena anabahati ningekuwa mimi pengine ningekuwa na mada kesi maana kuvunja mguu peke yake haitoshi hata sisi tuna wake hutufanyi u**** huu..

hebu sasa angalia jamaa anavyohaha. Tuwe makini na namna tunavyoreact hasa tunapokuwa na hasira.
 
Husn'
Wakati mwingine inabidi tu ulipe ubaya, the remedy of fire is fire!
mtu anapokufanyia mabaya wewe ukamtendea wema ni namna nzuri ya kumfanya abadilike. Jamaa amekosea sana na hata huyo shemeji yake nae ana makosa. Nashangaa watu mnavyompigia makofi.
 
Sasa mbona wewe umemvunja mguu na mkono pamoja na ubabe wake? Swali la msingi dada yako anafanya kazi gani, maana kuna dalili kuwa ni mama wa nyumbani na huyo jamaa kwa kukosa hekima anamtesa akiamini hana pa kwenda zaidi ya hapo. Kuhusu kikao, na mahakamani sema mimi nilikuwa nakunywa chai lakini yeye alianza kunitukana na mimi nika provoke ndiyo nikamvunja miguu huyo jamaa! Kisheria provocation ipo na mazingira hayo yanasupport.
 
Alipo nimwagia chai sikuona kitu sana kwa kuwa yupo kwake ila alipomsukuma sista n akumkanyaga kinyama tena uleule mkono wenye p.o.p ndo nilipoona huyu jamaa ni mnyama sikuwahi kuwa na hasira zile toka udogo wangu.....sasa jamaa akajua ndo walewale wa bush wakuonea...sijutii uamuzi wangu hata kidogo na kamwe sirudi nyuma ktk hilo....
 
hebu sasa angalia jamaa anavyohaha. Tuwe makini na namna tunavyoreact hasa tunapokuwa na hasira.

sijahaha mkuu na tena wala sijutii uamuzi wangu na tena akileta use..n..ge nasirimba tena
 
Wewe uliendaje kuzungumzia maisha ya dadako na mumewe nyumbani kwao? Kwa nini usingemwita pembeni dadako?
Huoni umeongeza moto kwa sister? Jamaa anaweza kukuzilia huyo dadako akiona anaingiliwa katika ndoa yake!!.

Katika hilo hata kesi ikienda mbele (mahakamani) lazima shahdi yako atakuwa dadako, jamaa hapo anaweza kumwacha kabisa.

Maoni:
Next time unaweza kuhatarisha maisha yako kwa kwenda kuzua ugomvi nyumbani kwa shemeji yako. Hata kama jamaa ni mkorofi (japo kugombna ni kawaida kwenye ndoa) muite shemeji yako akiwa na ndugu wengine ili aulizwe kwa nini anamtesa ndugu yenu> kama dada anapigwa mpaka kuvunjwa mkono lakini yupo bado kwenye ndoa wewe huwezi kujua kwa nini hataki kutoka hivyo wewe huwe mpole tu ndio ndoa yake hiyo maumivu yake yasikufanye ufikirie kuwatenganisha< wanapendana hao!!!
 
Mwokoeni dada yenu yumo utumwani si katika ndoa tena. Pole sana mkuu
 
sema mimi nilikuwa nakunywa chai lakini yeye alianza kunitukana na mimi nika provoke ndiyo nikamvunja miguu huyo jamaa! Kisheria provocation ipo na mazingira hayo yanasupport.
nilikuwa nataraji watu wamshauri kama wewe na sio kumpa sifa za kijinga.

Ubarikiwe.
 
hebu sasa angalia jamaa anavyohaha. Tuwe makini na namna tunavyoreact hasa tunapokuwa na hasira.

mimi sioni kama anahaha..hebu niambie ungekuwa ni wewe ungemfanya nini huyo jamaa..
 
mimi sioni kama anahaha..hebu niambie ungekuwa ni wewe ungemfanya nini huyo jamaa..

kama ni mimi kwa miaka yote mitatu hiyo ningekuwa nishamchukua sist na kumtafutia cha kufanya. Nakubaliana na mzee wa rula aliyesema inawezekana huyo dada ni mama wa nyumbani na ndio maana amekuwa mzito kufanya maamuzi ya kusepa.
 
 

ubabe ni wakwake na hao ma******* wanaomuogopa asilete ubabe wake kwa dadangu bana pia ni kweli dada ni mama wa nyumbani tu kwa sasa ndo mana hata biashara jamaa hataki afanye
 

mkuu mm nilienda kumsalimia kwa kuwa tuna muda mrefu hatujaonana
 
mkuu kwenye kikao nenda ukiwa umekamilika ukiona ndugu analeta za kuleta mpekitu inauma yaani lazi uwaonyeshe kuwa dada yako nae ni binadamu kama huyo ndugu yao ambae amekuwa akimpiga dada yako na hawakuitisha hivyo vikao lakini kama unaongopa shari zaidi ni bora usiende kabisa kwenye hicho kikao..
 

mkuu unatetea domestic violence? yaani dada abondwe,avunjwe mkono,kaka mtu naye amwagiwe chai kisha mumwangalie tu? yeye ni nani duniani hii? Mkuu hii situation embu iangalie kwa umakini zaidi kisha ndo utoe hukumu tafazali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…