MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
Sasa nao wanapitaje pale mida mibovu bilaJana usiku Oktoba 09 mida ya saa 4 kasoro, jamaa yangu mmoja akiwa na mpenzie ndani ya gari, wakiendesha slow motion ndani ya barabara ya Kokoto, Huku shemeji yangu akiongea na simu, GHAFLA BIN VUU, jamaa katokea kwenye kichaka na kumpora Shem simu. Wahusika: SOUTH BEACH HOTEL NA WANAUSALAMA Chukueni hatua.
Uzi tayar....[emoji3][emoji3]gar haina ac?unaachaje kufunga vioo?barabara ileJana usiku Oktoba 09 mida ya saa 4 kasoro, jamaa yangu mmoja akiwa na mpenzie ndani ya gari, wakiendesha slow motion ndani ya barabara ya Kokoto, Huku shemeji yangu akiongea na simu, GHAFLA BIN VUU, jamaa katokea kwenye kichaka na kumpora Shem simu. Wahusika: SOUTH BEACH HOTEL NA WANAUSALAMA Chukueni hatua.
Kutokujua kuwa Hakuna UsalamaSasa nao wanapitaje pale mida mibovu bila
Kufunga viooo
Wanadai Tinted Kali, huoni vzrUzi tayar....[emoji3][emoji3]gar haina ac?unaachaje kufunga vioo?barabara ile
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
wamepotezea, wanaona usumbufuMmechukua RB?
🤣🤣🤣🤣🤣🙌Shemegi simuamini nahisi anamchezesha jamaa inawezekana aliichoka simu!
Maeneo hayo hata wale Beach boys ni hatari Sana. Infact beach za Kigamboni nyingi zimejaa vibaka. Niliwahi kwenda hapo j2 nikakuta Kuna disco vumbi vitoto vya Kigamboni, Kijichi, Mbagala na kongowe Kama wote.Jana usiku Oktoba 09 mida ya saa 4 kasoro, jamaa yangu mmoja akiwa na mpenzie ndani ya gari, wakiendesha slow motion ndani ya barabara ya Kokoto, Huku shemeji yangu akiongea na simu, GHAFLA BIN VUU, jamaa katokea kwenye kichaka na kumpora Shem simu. Wahusika: SOUTH BEACH HOTEL NA WANAUSALAMA Chukueni hatua.