Kiranga, Mshana na Likud ni ndugu sema hawajuani tu

Kiranga is a singularity, do not transgress grotesquely by misanalogizing him.

You will need to reconcile Einstein's Relativity with Quantum Physics, and divide the resultant solution by zero, and advance to a Type V civilization on the Kardashev scale to gather the wattage needed to decipher the encryption and access the essence of His Kiranganess

 
@General Mangi
 
Mkuu,
Wewe ni ndugu yetu
 
Duh
 
Mkuu nipe copy ya kitabu hicho types of civilization
 
Hamna noma mkuu napiga hela kubwa chap chap hapa mishe mishe ikikaa sawa naangalia maktaba.

A Brief History of Time ulikiona kule kwenye mjadala wa Stephen Hawking?
Embu nipe kwa ufupi hiyo Historia ya Muda ....
 
Swali liende kwa mleta mada,

Yeye ndo kasema una akili nyingi sanaa
Kaka humu nimeona watu wengi hawana ufahamu juu ya maana ya maneno mengi sana. Kwa kuwa wajinga juu ya maana ya maana ya maneno fulani,katika mjadala unakuta neno linageuka kuwa mada pweke ndani ya mada mama.

Mfano hili tamko la AKILI litageuka kuwa mada muda wowote humu,mathalani jana kwenye mada ya Kiranga kuhusu Stephen Hawking,tamko dogo sana la kuhusu maana ya "UKWELI" iligeuka mada kwa mtu niliyemuuliza na mwisho wake nika achana nae. Nikaona nikiendelea kujadiliana nae sitafaidika kwa lolote zaidi ya kupoteza.

Hili ni tatizo kubwa sana,ambalo huwafanya watu kuendelea kuishi katika UJINGA.

Nipo ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…