Elections 2010 Kiravu hatukutaki tume ondoka pia hatukutaki unafiki wako kanisani

Elections 2010 Kiravu hatukutaki tume ondoka pia hatukutaki unafiki wako kanisani

DENYO

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Posts
698
Reaction score
57
Kiravu mwogope mungu acha unafiki ogopa dhambi wizi wa kura ni uhaini mbaya saana mwogope mungu achia ngazi usirudi kutufundisha neno mnafiki mkubwa wewe. Jambazi mkubwa wa kura zetu
 
Kiravu mwogope mungu acha unafiki ogopa dhambi wizi wa kura ni uhaini mbaya saana mwogope mungu achia ngazi usirudi kutufundisha neno mnafiki mkubwa wewe. Jambazi mkubwa wa kura zetu
:thinking: kweli watanganyika sasa mna machungu sasa
 
Kiravu mwogope mungu acha unafiki ogopa dhambi wizi wa kura ni uhaini mbaya saana mwogope mungu achia ngazi usirudi kutufundisha neno mnafiki mkubwa wewe. Jambazi mkubwa wa kura zetu
Mpwa umeniwahi kweli dah nilitaka kusema hivyohivyo.
 
Sifa mojawapo ya mafisadi ni kutomwogopa Mungu kamwe. Unampigia gitaa mbuzi tu.
 
Mafisadi wengi ni waumini, na wakipata wanagawa fungu la kumi. Sasa mtchoma wenyewe kwa wenyewe safari hii, sisis macho.
 
Lazima atakuwa muumini(Msabato),kuna Mtoto wake nilisoma nae miaka hiyo ya nyuma pale Nsumba alikuwa mstari wa mbele sana kwenye kutoa zaka na alikuwa msabato wa ukweli kiitikadi ila huyu Baba yake anaonekana Mnafiki tuuh hana lolote nahis hata iyo J'mos atakuwepo watakapokuwa wanamhalalisha huyo Fisadi wao badala yakuiheshimu sabato nakuitakasa.
 
sasa nimeamini kuwa Baadhi ya watanzania hata kuwepo kwenye vitabu vya kumbukumbu za kistoria ya utendaji kazi hawatakuwepo kamwe...

Mzee Makame na huyu mkurugenzi hata hawapashwi kukumbukwa kwa chochote walichofanya..

Na ikatokea kuwa kesi hii ikapelekwa mahakamani na omba sana Kifungu kiwahusu kwani hawa walikula kiapo cha utiifu hivyo kukiuka kiapo ni kosa la jinai..
 
Back
Top Bottom