<br />hilo swali lako peleka jukwaa la lugha utasaidiwa
Hili swali alina uhusiano na jukwaa la lughahilo swali lako peleka jukwaa la lugha utasaidiwa
habari zenu wandugu! kuna jamaa kaniuliza swali kuwa RB ile ambayo mtu akiripoti tukio polisi huwa anapewa kirefu chake ni nini? sikuwa na uhakika na jibu langu lakini nilijibu nadhani itakuwa ''Report Book'' ila sina uhakika. mwenye kufahamu kwa uhakika naomba anisaidie.
me nadhani ingeitwa report paper(rp) ama sijui maana ya book niambie tafadhali muokoe jahazisawasa ndio kirefu chake haujakosea
<br />Umepatia kirefu chake ni "report book"
na ile ya m2 akipata ajali inaitwa PF3 kirefu chake nini?
kwa mana hiyo kuna police form no1 and 2?(PF1 and PF2) Na Zinahusu nini?Police Form no. 3
hizo fomu zinatumika kutunzia kumbukumbu za kipolisi,hata hiyo report Book (RB) - yaani kitabu cha taarifa nayo ni fomu ya polisi yaan PF 162kwa mana hiyo kuna police form no1 and 2?(PF1 and PF2) Na Zinahusu nini?
kijana utakuwa njagu nini?hizo fomu zinatumika kutunzia kumbukumbu za kipolisi,hata hiyo report Book (RB) - yaani kitabu cha taarifa nayo ni fomu ya polisi yaan PF 162
me nadhani ingeitwa report paper(rp) ama sijui maana ya book niambie tafadhali muokoe jahazi
hizo fomu zinatumika kutunzia kumbukumbu za kipolisi,hata hiyo report Book (RB) - yaani kitabu cha taarifa nayo ni fomu ya polisi yaan PF 162
PF1 na PF2 je?RB- report bookPF3- Police Form No 3.kuna forms za taarifa ya kupotelewa mali,forms za kuomba kufanya ukaguzi nk