Kirefu na maaana ya LLB

ASIKARI

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
92
Reaction score
22
Wakuu nimekuwa nikiona hili neno hasa kwa wale wanao chukua degree katika sheria..likiwa ni jina na kitivo chao.
Swali langu ni juu ya kirefu cha LLB, na origin ya neno hilo.
Naomba msaada.
 
Duuhh ndio maaana kuna umuhimu wa mtu anae soma LLB awe na knowldge ya languange
 
Katika Kilatini kama neno liko katika wingi linafupishwa kwa kuiandika hiyo herufi mara mbili. mfano LL inamaanisha Laws, pp ni ufupisho wa pages in Latin
Hawa jamaa wana haki ya kuitwa learned brothers i see, jina la "fakati" yao tu limeandikwa kilatini, daadeki!!
 
Mfumo kristo Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hawa Mulugoz unaweza kukuta anayo lakini hajui kirefu chake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…