The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
No fiji are not polynesian. They are melanasian and papuan origins. Though they have austronasian dialect. Vanuatu are not polynesian too.Umeisahau Avatiu,Fiji...nk
Pia ikumbukwe fiji kuna watu wa asili kutoka india walihamia huko zamani.Umeisahau Avatiu,Fiji...nk
Tupia japo kapicha mkuu tuone kanchi kao kanavyoogelea soon...Pia ikumbukwe fiji kuna watu wa asili kutoka india walihamia huko zamani.
Nilitaka kusahau kuna new caledonia an oversea french island nation in west pacific hao pia ni melanasian people and papuan origins mji wao mkuu ni new caledonia. On september walipiga kura ya referundum kujitenga ila the remain won
Mkuu siyo kisiwa kimoja bali vipo visiwa vidogodogo 33 vinajenga nchi moja Kiribati. Hivi visiwa vinaitwa Atoll. Mji mkuu wa Kiribati ni Tarawa Atoll. Attol maana yake ni an island coral reef in the middle there is lagoon.Tupia japo kapicha mkuu tuone kanchi kao kanavyoogelea soon...
Hapa Sasa nakupata japo sijajua kinchi chenyewe kinapatikana bara gani na historia yake kwa ufupi na hasa population na na tegemeo la uchumi wao Ni Nini..Mkuu siyo kisiwa kimoja bali vipo visiwa vidogodogo 33 vinajenga nchi moja Kiribati. Hivi visiwa vinaitwa Atoll. Mji mkuu wa Kiribati ni Tarawa Atoll. Attol maana yake ni an island coral reef in the middle there is lagoon.
Hili ufike kiribati ni kwa njia ya meli au ndege. Usafiri wa ndege unapatikana kutoka kaskazin mwa fiji na inachukua masaa matatu.
View attachment 962324
Okay. Kiribati ni miongoni mwa nchi zinazopatikana Micronesia ama Ocenia. Ni nchi inayojitegemea ila inatumia Australian dollar kama legal tender. Hiko katikati ya Australia na hawahii. Ni nchi ya nne kwa udogo duniani.Hapa Sasa nakupata japo sijajua kinchi chenyewe kinapatikana bara gani na historia yake kwa ufupi na hasa population na na tegemeo la uchumi wao Ni Nini..
Ni hayo tu mkuu....
Siku yangu leo inapendeza asubuhi tu shukrani...Okay. Kiribati ni miongoni mwa nchi zinazopatikana Micronesia ama Ocenia. Ni nchi inayojitegemea ila inatumia Australian dollar kama legal tender. Hiko katikati ya Australia na hawahii. Ni nchi ya nne kwa udogo duniani.
Idadi ya watu ni elfu 12 tu ila wakiribati kama elf 22 wanaishi newzealand.
Wenyeji wa Kiribati ni polynesians
Kama unamaswali mengine kuhusu huo ukanda wa micronesia niulize kwani kila kisiwa nchi pacific navifamu vyema.Siku yangu leo inapendeza asubuhi tu shukrani...
[emoji120][emoji120]
Wanapenda sana nchi yao. Australia umoja wa Ulaya majuzi wamepaga jeki umeme wajua solar kwani itakuwa nafuu sana kupata nishati nafuu ukilinganisha na mafuta dizel inayotumia kuendesha mitambo ya umeme.Waambie hao wakiribati waache masiala ,yaani idadi ya watu elfu 12 alafu wanajiita nchi,hao inafaa wajiitee kitongoji au kijiji.
Hivyo havina hatari ya kuzama.Fatilia kuhusu visiwa vya Pemba na unguja vitazama lini, ili kabla hawajafanya maamuzi ya kujitenga wawe wanajua nchi yao ikizama wataelekea Kenya au somalia.
Indonesia ipo kwenye ukondo wa mitetemeko. Pia sisis tumuombe Mungu sana kwasababu oldonyo lengai kila ikitaka kukooa mtetemeko utokeaKuna nchi huwa inazibuliwa sana na majanga ya kila sina Indonesia. Hawa jamaa tetemeko, volcano, tsunami vyote vyao bado maporomoko lakini wanakomaa tu.
Indonesia ipo kwenye ukondo wa mitetemeko. Pia sisis tumuombe Mungu sana kwasababu oldonyo lengai kila ikitaka kukooa mtetemeko utokea
Hasa Tsunami ikitokea inaweza kuwasombaBahati nzuri sisi tupo bara tofauti na wale ni visiwa kule kikinuka kinanuka hakuna kubeep.
kuna ndege Fulani huko wanajisaidia mavi yenye sulpher ya hatari wanaitwaje haoKama unamaswali mengine kuhusu huo ukanda wa micronesia niulize kwani kila kisiwa nchi pacific navifamu vyema.
Nadhani unamaanisha Albatross. Ila hawa ndege upatikana sana visiwa vya indian ocean kama ST Hellenakuna ndege Fulani huko wanajisaidia mavi yenye sulpher ya hatari wanaitwaje hao