Je urusi wanaoutamaduni wa kusaidia?Nchi ndio nchi ya kwanza kuuona mwaka mpya kisiwa hiko kiko karibu kabisa na international date line nadhani watasaidiwa na nchi za China Urusi sisi tupo mbali huku ni ngumu kuwasaidia.
Raisi wa kiribati analalamika kuwa international community haimsaidii kwenye hilo tatizoNchi ndio nchi ya kwanza kuuona mwaka mpya kisiwa hiko kiko karibu kabisa na international date line nadhani watasaidiwa na nchi za China Urusi sisi tupo mbali huku ni ngumu kuwasaidia.
Nilishaletaga huu uzi 2018Nchi ya Kiribati ina watu wapatao laki moja ni kisiwa na kwa sasa imeanza kuzama baharini kutokana na mabaddiliko ya Tabia nchi .Tukiwapa uraia hata elfu 25 tu tutakuwa tumewasaidia sana na Mungu atatubariki
Jionee hali yao mwenyewe
Tayari wamshanunua ardhi Fiji. Pia kuja Tanzania ni mbali sana. Kiribati ipo far away in the pasificNchi ya Kiribati ina watu wapatao laki moja ni kisiwa na kwa sasa imeanza kuzama baharini kutokana na mabaddiliko ya Tabia nchi .Tukiwapa uraia hata elfu 25 tu tutakuwa tumewasaidia sana na Mungu atatubariki
Jionee hali yao mwenyewe
Watakuja tu apo ni kuweka mafuta panda ndege sepa vibali vitapatikan ndege ikiwa hewan more than that tujiandaena msiba wa dunia afu kuna visiwa vingine nikiviangalia kwenye raman adi navionea huruma yaan vipo mbali na mabara afu ni vidogo bahar ilioizunguka ni kubwa yaan kwa tabia za nchi jibu ni moja tu lazima itamezwa na baharRaisi wa kiribati analalamika kuwa international community haimsaidii kwenye hilo tatizo
Haya yatakuwa ni madhara ya global warming.