Kiroho safi: Diamond Platnumz akiwa na watoto wa Ivan wakifanya shopping

Wanaume tumeumbwa mateso.
Watoto unaoweza kuwamudu si mate so. Ni raha na baraka. Wapo waliokesha kwa Dr Ilala wakiomba watoto. Furaha ya Ndoa/Mapenzi Watoto.
 
Safii, mbona Mimi nnalea mtoto wa mchepuko wangu na baba yake yupo tuu unafanya starehe japo walishaachana
 
Sifa za Kijinga Tu. Siku waswahili/binadamu wakianza kusema ameshirikiana na ZARI kumuua IVAN ili achukue mali au kudhulumu mali za hao watoto wala usishangae
Yawezekana ikawa ni kweli. Ila ajue waganda wamemmaindi sana
 
Hao watoto wa ivan......wakiwa kidogo tu....wataizingua hii njemba....ngoja utoto uwatoke is just a matter of time
Hawataweza, mama yao hatawakaripia kwa sababu ya KUPANDWA na Diamond [emoji843]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…