#COVID19 Kirusi cha Delta kimesambaa na kufikia Mataifa 104

#COVID19 Kirusi cha Delta kimesambaa na kufikia Mataifa 104

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Kirusi cha Maambukizi ya #COVID19 aina ya Delta kimesambaa kwa haraka na kuyafikia Mataifa 104. Inaelezwa kuwa kimefika hata kwenye mataifa mabayo yalionekana kuanza kupunguza kwa kiasi kikubwa kasi ya maambukizi

Mkuu wa Shirika la afya Duniani, Tedros Adhanom Ghebreyesus ameonya kuwa kieusi hiki kinaweza kuwa ndio kirusi tawala ndani ya muda mfupi

Kirusi cha Delta kimethibitika kusambaa hata kwenye mataifa ambayo tayari wamechanja wananchi wake kwa kiasi kikubwa sana

DALILI ZA KUWA UMEPATA KIRUSI CHA DELTA

1626694979894.png
 
Kwa hizi dalili walahi hiyo siyo Corona tuliyokuwa tunaijua!!Hii ukifanya ule mzaa wa kula malimao unaondoka.
 
Whoever the fck is engineering this sht kwakweli ameiweza dunia.
 
Hata ukivaa barakoa unaupata

Nafananisha na mtu hata avae chupi mimba itaingia tu.
 
Halafu Chadema wanaitisha makongamano nchi nzima, uvccm wana vikao, mama bado aendeleze ziara zake....hakuna corona bana tusitishane🤸🤣🐒
 
Back
Top Bottom