JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Mafua hadi unahara. Kalinipata haka wiki chache zilizopita. Ni hatari sanaKwa hizi dalili walahi hiyo siyo Corona tuliyokuwa tunaijua! Hii ukifanya ule mzaa wa kula malimao unaondoka.
Those are evil...Whoever the fck is engineering this sht kwakweli ameiweza dunia.
Hicho kirusi kinatia watu mimba?Hata ukivaa barakoa unaupata, nafananisha na mtu hata avae chupi mimba itaingia tu.