SoC02 Kirusi cha NHIF

Stories of Change - 2022 Competition

Ghalib01

Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
15
Reaction score
18
Nakala hii nitazungumzia KIRUSI CHA NHIF kimaana TATIZO LA MFUKO WA BIMA YA AFYA LINALOPELEKEA KUFA KWA NHIF. Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika kukizungumzia KIRUSI CHA NHIF lakini kabla ya kwenda kwenye MADA kwanza tuijue hii Sayansi ya Uumbaji ni nini!? Sayansi ya Uumbaji ni MSINGI wa DUNIA ama MWANZO wa SAYARI, lakini pia Sayansi ya Uumbaji ina Kanuni zake, miongoni mwa Kanuni zake, Viunganishi vya maneno huwa hatuvifanyii Sayansi ya Uumbaji yaani hatuvifanyii hesabu, sasa tuijue Sayansi ya Uumbaji kupitia Sayansi ya Uumbaji, tazama

Sayansi Uumbaji kinamba

S=19, A=1, Y=25, A=1, N=14, S=19, I=9, U=21, U=21, M=13, B=2, A=1, J=10, I=9

Tuzijumlishe namba moja moja ndo formula ya Sayansi ya Uumbaji yaani 1+9+1+2+5+1+1+4+1+9+9+2+1+2+1+1+3+2+1+1+0+9= 66, hivyo SAYANSI ya UUMBAJI kupitia Sayansi ya Uumbaji ni namba 66 na MSINGI wa DUNIA ni hivyo hivyo, tazama

Msingi Dunia kinamba

M=13, S=19, I=9, N=14, G=7, I=9, D=4, U=21, N=14, I=9, A=1

Tuzijumlishe namba moja moja ndo formula ya Sayansi ya Uumbaji yaani.

1+3+1+9+9+1+4+7+9+4+2+1+1+4+9+1= 66, hivyo MSINGI wa DUNIA kupitia Sayansi ya Uumbaji ni namba 66 kama ilivyo SAYANSI ya UUMBAJI ni namba 66 kimaana SAYANSI ya UUMBAJI ni MSINGI wa DUNIA, lakini pia ni MWANZO wa SAYARI, tazama

Mwanzo Sayari kinamba

M=13, W=23, A=1, N=14, Z=26, O=15, S=19, A=1, Y=25, A=1, R=18, I=9

Tuzijumlishe namba moja moja ndo formula ya Sayansi ya Uumbaji yaani 1+3+2+3+1+1+4+2+6+1+5+1+9+1+2+5+1+1+8+9= 66, hivyo MWANZO wa SAYARI kupitia Sayansi ya Uumbaji ni namba 66 kama ilivyo SAYANSI ya UUMBAJI ni namba 66 kimaana SAYANSI ya UUMBAJI ni MWANZO wa SAYARI pia, na imekuwa hivyo kwa kuwa Dunia ni SAYARI pia, hivyo SAYANSI ya UUMBAJI ni MSINGI wa DUNIA na pia ni MWANZO wa SAYARI. Hatujatumia Viunganishi vya maneno kwa sababu Kanuni ya Sayansi ya Uumbaji huwa hatuvifanyii hesabu Viunganishi vya maneno, na izo Nambari na Herufi zinatokana na mpangilio wa Namba na Alfabeti.

Mingi yamesemwa yanayopelekea KUFA KWA NHIF kwa iyo sina sababu ya kuyarejea yaliosemwa, kama nilivyosema nitatumia Sayansi ya Uumbaji, Sayansi ya Uumbaji inathibitisha kwamba kuna TATIZO NHIF na ndio maana kuna Uhusiano baina ya TATIZO na NHIF, Sayansi ya Uumbaji inathibitisha ilo, tazama

NHIF kinamba

N=14, H=8, I=9, F=6

Tuzijumlishe namba moja moja ndo formula ya Sayansi ya Uumbaji yaani 1+4+8+9+6= 28, hivyo NHIF kupitia Sayansi ya Uumbaji ni namba 28 na TATIZO ni hivyo hivyo, tazama

Tatizo kinamba

T=20, A=1, T=20, I=9, Z=26, O=15

Tuzijnumlishe namba moja moja ndo formula ya Sayansi ya Uumbaji yaani 2+0+1+2+0+9+2+6+1+5= 28, hivyo TATIZO kupitia Sayansi ya Uumbaji ni namba 28 kama ilivyo NHIF ni namba 28 kimaana kuna Uhusiano baina ya NHIF na TATIZO na ndio maana leo watu wanazungumzia KUFA KWA NHIF kwa sababu kuna Uhusiano baina ya NHIF na TATIZO kimaana katika MFUKO WA BIMA YA AFYA kuna TATIZO.

Kama mada inavyosema KIRUSI CHA NHIF kimaana KIRUSI lazima kijulikane hapa, Sayansi ya Uumbaji itatujuza icho KIRUSI kimaana kuna Uhusiano baina ya WIZI na BIMA ya AFYA, tazama

Wizi kinamba

W=23, I=9, Z=26, I=9

Tuzijumlishe namba moja moja ndo formula ya Sayansi ya Uumbaji yaani 2+3+9+2+6+9= 31, hivyo WIZI kupitia Sayansi ya Uumbaji ni namba 31, na BIMA ya AFYA ni hivyo hivyo, tazama

Bima Afya kinamba

B=2, I=9, M=13, A=1, A=1, F=6, Y=25, A=1

Tuzijumlishe namba moja moja ndo formula ya Sayansi ya Uumbaji yaani 2+9+1+3+1+1+6+2+5+1= 31, hivyo BIMA ya AFYA kupitia Sayansi ya Uumbaji ni namba 31 kama ulivyo WIZI ni namba 31 kimaana kuna Uhusiano baina ya WIZI na BIMA ya AFYA kimaana KIRUSI CHA NHIF ama TATIZO la MFUKO WA AFYA KUFA ni WIZI. Hatujatumia kiunganishi cha maneno kwa kuwa ndo kanuni ya Sayansi ya Uumbaji, hemu rejea hii NUKUU ya WIZARA YA AFYA

👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼

TUNAFANYA MAPITIO YA VIGEZO VYA POLYCLINICS, NYINGI NI VICHOCHORO VYA WIZI DHIDI YA NHIF; WAZIRI UMMY MWALIMU

Serikali imesema haikusudii kufuta Kliniki za Kibingwa (Polyclinics) zilizopo nchini bali inapitia vigezo vya kuwa na Polyclinics ambazo hivi karibuni zimeibuka kliniki nyingi ambazo zimekuwa ni vichochoro vya udanganyifu dhidi ya Mfuko wa Taifa wa NHIF.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu leo alipokutana na Watoa Huduma za Afya wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wa Mkoa wa Dar Es Salaam.

"Hatufuti wala hatukusudii kufuta Polyclinics, lakini tunafanya mapitio ya vigezo vya Polyclinics kwasababu ndio kichochoro kingine cha udanganyifu dhidi ya NHIF na ndio maana kuna wingi wa Kliniki za Kibingwa zinazoanzishwa amabzo hazina vigezo kwa sababu ya kufanya udanganyifu” amesema Waziri Ummy Mwalimu.

Amesema Sera ya Afya inataka Serikali kuendelea kutambua mchango wa Sekta binafsi kwa kusaidia kutoa huduma za afya nchini na kuahidi kuwa Serikali itaendelea kuweka mazingira mazuri na wezeshi kwa sekta binafsi kuweza kufanya kazi kwa sababu Serikali peke yake haiwezi.

“Tunafungua hizi kliniki kwa ajili ya NHIF au kwa ajili ya Watanzania? Tunataka kuondoa ujanja ujanja, NHIF ina wanachama Milioni 4.6 kuna Watanzania wengi bado hawana Bima ya Afya, nao wahajitaji pia kuhudumiwa, kwa hiyo lengo la kwanza kufungua kituo cha kutolea huduma za afya kiwe ni kuhudumia Watanzania” amesema Waziri Ummy.

Waziri ummy amesema wamebaini tabia ya wataalam ambao wanafanya kazi kwenye kliniki binafsi mara baada ya kutoka kazini ambapo wataalam hao huchukua vipimo kutoka kwa mgonjwa na kurudi kufanyia uchunguzi kwenye vituo vya umma na mwisho wa siku wao ndio wanufaika wakubwa kutoka NHIF huku wakiwa wametumia vifaatiba vya Hospitali ya Umma kwa udanganyifu na maslahi binafsi.

“Tunataka Polyclinics hizi ziendelee kuwepo na kutoa huduma kwa wananchini na hadi kufikia mwezi Machi 2022 kulikuwa na jumla ya Kliniki za Kibingwa 299 sawa na asilimia 3.3 ya vituo vyote vya kutolea huduma” amesema Waziri Ummy.

Pia rejea

Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel amesema Uchunguzi Wahusika wa Polyclinic moja Jijini Mbeya wametoweka na Tsh Milion 137 za NHIF. Mbeya Mjini pekee kuna Ubadhirifu wa Tsh Bilioni 1.6 za Mfuko huo.

MKOA wa KILIMANJARO Uchunguzi uliyofanywa na NHIF pamoja na Vyombo vya Usalama umebaini ubadhirifu wa Tsh Milioni 520 uliosababishwa na vitu 12 vya kutolea huduma za Afya.

SASA KWA WIZI UWO KWANINI NHIF ISIFE!? na WIZI unaosikia ripoti zake ni mdogo kuliko ambao hauripotiwi. Kupitia Sayansi ya Uumbaji imetuthibitishia kuna TATIZO katika NHIF pia imetutajia TATIZO lenyewe nalo ni WIZI.

Hivyo natamatisha Nakala hii kwa kutaka KUDHIBITIWA WIZI UNAOTOKANA NA NHIF ILI KUINUSURU NHIF ISIJE KUFA.
 
Upvote 0
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…