Kirusi gani kinautafuna uwanja wa ndege wa Songwe kule Mbeya

TEMA

Member
Joined
Oct 1, 2007
Posts
27
Reaction score
0
Jamani wana JF ninawaomba kuuliza hivi mbona uwanja wa ndege wa songwe Mbeya umekuwa ni kitendawili kisichoteguka? Haumaliziki kwa nini -wakandarasi hakuna? Hawautaki? Fedha hakuna? Ni kirusi gani hasa wajemeni ninaomba msaada wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…