Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Nilipokuwa shuleni, sikuzote niliketi karibu na dirisha na kutazama jiko la kantini! Siku moja Mwanamke anayepaswa kuandaa chakula siku hiyo kaweka chumvi kisha akatoka na kwenda zake, baada ya muda mfupi mwanamke mwingine kaja na kutaka kuweka chumvi nyingine, ndipo nilipo sahau kabisa kuwa nipo darasani nikapiga kelele "WAMESHAWEKA CHUMVI NYINGINE WEWE"
kitendo kilichofanya nifukuzwe shule bila kusikilizwa🤣
Cc: shemeji Lamomy
kitendo kilichofanya nifukuzwe shule bila kusikilizwa🤣
Cc: shemeji Lamomy