Kisa cha Craig Robinowitz na penzi la kahaba mcheza uchi..!

Kuna kisa nitakiweka hapa siku zijazo cha mwanaume mmoja aliitelekeza familia yake ikiwa ni miaka mitatu tu tangu afunge ndoa kwa sababu ya hawara, tena na mateso juu mpaka mkewe akajinyonga kutokana na sononi......... hiyo ni obssesion tu

Hii obssesion naona inaweka ubinafsi mbele zaidi.
Binadamu ni wa binafsi sana. Tazama huyu alivyokuwa anajirusha na akaamua kuua bila hata kujali maisha ya kale katoto kao.

Na nadhani ni yeye alimshawishi mkewe akate bima kama si kumkatia.

Muache aozee jera na gonjwa la obssesion cjui atatibiwa nanani huko maana yule kahaba sidhani hata kama atapoteza muda kwenda mchungulia.
 
jamani ni sad sana mume anaweza kuwa zaidi ya shetani au upepo mbaya nalia hapa imenigusa sana
 
aisee addiction ni kitu kibaya sana..........sasa kweli uingie mkopo kisa kwenda kumpa binti mcheza uchi? jamani hivi wengine wakiwaza kwa akili wenzetu wanawaza kwa vile wavipendavyo? aisee akili yako iusemee moyo na siyo vitu viusemee.
 

Kisa kinasisimua sana..unanikumbusha matukio ambayo huwa nayaona DSTV kwenye chaneli ya CRIME AND INVESTIGATION. Kiukweli wenzetu wako mbali sana kwenye mambo ya kipelelezi. Kesi kama hii kwa nchi kama yetu ingekuchukua muda sana ushahidi kukamilika. Shukrani sana Mtambuzi.
 
Last edited by a moderator:
hapo tunaona jinsi tanzania isivyo na wapelelezi, kwa namna tulivyozoea hapa nchini kwetu hapo kusingekuwa na upelelezi, kuna mtu ambaye mazingira yakifo chake ni kuuawa na mkewe lakini polisi hawakuwahi kurusi tena kuchunguza
 
Thanx mkuu kwa kisa chenye mafundisho na kusisimua, ama kweli shetani wa mtu ni mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…